HAMASIKA

PATA FAIDA KWA KUTENGENEZA NA KUUZA MAFUTA YA NAZI

Habari rafiki yangu na mfatiliaji wa mtandao huu wa shuletanzania. Katika mfululizo wa makala zangu za kukuonyesha ni product gani zinazotengenezwa kwa njia rahisi na kutengeneza pesa nyingi. Nimekufundisha kuhusu mambo mengi hasa kupitia channel yangu ya yutube, unaweza kuangalia kama hujafanikiwa kuona video hiyo. Leo nakushirikisha kuhusu mgodi mwingine ambao bado watu hawajaujua sana

PATA FAIDA KWA KUTENGENEZA NA KUUZA MAFUTA YA NAZI Read More »

NGAZI AU LIFTI

Kwenye jengo lefu hasa Ghorofa ukiingia ndani ya jengo hilo utakuta namna mbili za kukutoa chini na kukupeleka juu au kwenye floor mojawapo katika jengo hilo. Namna hizo mbili ni lifti au ngazi. Lifti umfikisha mtu haraka sana lakini njia ya ngazi huchosha kama unaenda mbali kwa juu. Hivyo watu wengi hupendelea kupanda lifti. Tunaporudi

NGAZI AU LIFTI Read More »

KAMA BIASHARA YAKO HAIKO MTANDAONI UNAPOTEZA WATEJA WAKO

Kama biashara yako haiko mtandaoni unapoteza wateja. Natumai unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.Napenda leo nikukumbushe kitu muhimu sana, najua umekuwa ni miongoni mwa watu ambao wanatumia mitandao ya kijamii mara kwa mara, je unafaidika nini na mitandao hiyo?Je kuna kiasi chochote unachoingiza au unatumia tu kuliko kuingiza?Tambua kuwa ni muhimu kuwa na

KAMA BIASHARA YAKO HAIKO MTANDAONI UNAPOTEZA WATEJA WAKO Read More »

FAIDA ZA KUJITOLEA

Habari rafiki yangu, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda kukushirikisha umuhimu au faida iliyo katika kazi ya KUJITOLEA. Kujitolea ni kitendo cha kuamua au kuomba kufanya kazi flani bila ya ujira au malipo yoyote yale. Nimekuwa nikizungumzia sana hili hasa pale napokuwa nawashauri vijana ambao wamehitimu mafunzo mbalimbali

FAIDA ZA KUJITOLEA Read More »

RAHISISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI KWA MASHINE HII NDOGO.

Habari kijana mwenzangu;Harakati zinaendelea. Kwa wale ambao tayari wameshajifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kutumia kitabu changu na umekuwa au umevutiwa na utengenezaji wa SABUNI YA MAJI sasa imerahisishiwa kazi na utaweza kuzalisha sabuni ya maji nyingi kwa muda mchache. Hii ni aina ya mashine ambayo inafanya mixingi ya ujazo mkubwa wa sabuni yako ya

RAHISISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI KWA MASHINE HII NDOGO. Read More »