USIPANGE MALENGO 2021
Mwaka 2020 unaelekea ukingoni sasa,!
USIPANGE MALENGO 2021 Read More »
Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako. Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama
MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »
Moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara walio wengi ni kutokujua kiundani juu ya biashara zao. Kutokana na changamoto hiyo ya kutokujua kiundani biashara zao, wafanyabiashara hao walio wengi hujikuta biashara zao huwa haziwi za muda mrefu na hata pale zinapokuwa za muda mrefu huwa hazikui. Naamini kwa kuwa lengo lako ni kukuza biashara, ni vyema
NJIA TANO (5) BORA ZA KUKUZA BIASHARA YAKO. Read More »
Habari rafiki, Leo hii nimekuletea njia rahisi sana ambayo itakusaidia kupata kitabu chako kwa njia rahisi kabisa na kwa bei nafuu kabisa.sikiliza video hii na uchukue hatua kama hujapata copy yako.
JINSI YA KUPATA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI KWA BEI RAHISI SANA Read More »
Habari rafiki, nina imani unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Sasa unaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza sabuni ya magadi kwa kusikiliza video hii fupi. tafadhari chukua muda na uitazame. Asante sana, na nikutakie utekelezaji mwema. Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako. PIUS JUSTUS MULIRIYE 0754745798 – Whatsapp
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MAGADI. Read More »