JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE

Habari mwana familia wa PM PROJECTS, natumaini unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako. Leo hii tutajifunza ni jinsi gani ya kutengeneza sabuni za mche kwa njia rahisi kabisa. Kabla ya kuendelea tutaangalia mahitaji muhimu yanayohitajika katika kutengeneza sabuni hizo. Mafuta ya kula (yenye uwezo wa kuganda) Cautic soda Maji baridi Sodium silcate Rangi …

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE Read More »

MASHINE NDOGO YA KUTENGENEZA CHAKI.

Habari ya wakati huu mwanafamilia, natumai unaendelea na harakati za kukomboa maisha yako. Leo hii nakuletea nyenzo hii muhimu ambayo unaweza kuitumia na ikakuletea manufaa kabisa katika maisha yako. Ni mashine ndogo ya kutengeneza chaki ambayo kila mtu anaweza kumiliki. Mashine hii ina uwezo wa kuzalisha chaki vipande 10,000-12,000 ambayo ni sawa na box 100-120. …

MASHINE NDOGO YA KUTENGENEZA CHAKI. Read More »