USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.
Habari rafiki yangu mpenda maendeleo, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda kukuletea shuhuda za baadhi ya watu ambao wamepata elimu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI na wamefanikiwa kutengeneza products hizo na wamenitumia picha za bidhaa zao na […]