ONLINE COURSE

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI.

Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.   Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama […]

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »

KOZI YA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE ZA MAGADI/KIGOMA KWA NJIA YA MTANDAO (Online course)

Habari rafiki yangu wa mtandao huu wa www.shuletanzania.info natumai unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Ni jambo jema sana kwani mustakabali wa maisha yako yako mikononi mwako.Rafiki; leo nakuletea kitu ambacho kitaweza kubadili maisha yako kama utachukua hatua katika maisha yako.Hivi karibuni nimekuwa nikizungumzia sana kuhusu swala la mtu kutengeneza bidhaa mbalimbali kama

KOZI YA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE ZA MAGADI/KIGOMA KWA NJIA YA MTANDAO (Online course) Read More »