MAFANIKIO

ANZIA HAPO ULIPO

Muda sahihi wa kufanya maamuzi ilikuwa miaka 10 iliyopita, lakini muda mwingine sahihi wa wewe kuchukua hatua ni leo, huhitaji kuwa sahihi ili uweze kuanza, anza tu, Mungu atabariki!! Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako; Pius J. MuliriyeWhatsapp|0717375782

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI.

Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.   Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama …

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog

Je unatafuta njia ya kujipatia pesa kwenye mtandao ambayo siyo ya utapeli? Blog ni njia moja wapo unayoweza kuitumia kujipatia fedha huku ukifanya kile ukipendacho. Katika makala hii nitakushirikisha njia 14 unazoweza kuzitumia kupata pesa kwa kutumia blog yako. Kumbuka! Hizi si njia za kupata pesa za mteremko haraka haraka kwa usiku mmoja. Kamwe usidanganywe …

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog Read More »

PATA FAIDA KWA KUTENGENEZA NA KUUZA MAFUTA YA NAZI

Habari rafiki yangu na mfatiliaji wa mtandao huu wa shuletanzania. Katika mfululizo wa makala zangu za kukuonyesha ni product gani zinazotengenezwa kwa njia rahisi na kutengeneza pesa nyingi. Nimekufundisha kuhusu mambo mengi hasa kupitia channel yangu ya yutube, unaweza kuangalia kama hujafanikiwa kuona video hiyo. Leo nakushirikisha kuhusu mgodi mwingine ambao bado watu hawajaujua sana …

PATA FAIDA KWA KUTENGENEZA NA KUUZA MAFUTA YA NAZI Read More »

HII NDIO MIFANO YA UBUNIFU KATIKA KUJIINGIZIA KIPATO

HII NDIO MIFANO YA UBUNIFU KATIKA KUJIINGIZIA KIPATO ‘’Maelezo yakikosa picha, ni rahisi kuyasahau. Si lazima picha iwe katika umbo Fulani, hata maandishi yanaweza kubeba picha halisi ya kitu yunachojifunza’’ Ubunifu unalenga kuleta suluhisho la matatizo ya pande mbili muhimu. Upande wa kwanza ni ule wa kwako na upande wa pili ni watumiaji wa kile …

HII NDIO MIFANO YA UBUNIFU KATIKA KUJIINGIZIA KIPATO Read More »

Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi

Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho. Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa …

Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi Read More »

SIRAHA HAZITENGENEZWI WAKATI WA VITA

SIRAHA HAZITENGENEZWI WAKATI WA VITA NIMEKUSOGEZEA VIDEO INAYOFUNDISHA JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MOJA INAYOTUMIKA SANA KWENYE JAMII ZETU KILA SIKU NA YENYE SOKO KUBWA SANA NA NI MOJA YA PRODUCT KATI YA PRODUCT 12 ZILIZOPO KWENYE KITABU CHANGU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.UNAWEZA KUIANGALIA HAPA KABLA HUJASOMA MAKALA YA LEO. Habari ndugu msomaji wa makala …

SIRAHA HAZITENGENEZWI WAKATI WA VITA Read More »