JITAMBUE

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI PART 1

Jifunze jinsi ya kutengeneza batiki kwa njia rahisi kabisa. Kama utapenda kozi hii basi kuna video nimekuandalia mwanzo mpaka mwisho wa jinsi ya kutengeneza batiki aina nyingi ikiwemo Muundo wa sambusa, muundo wa mkeka, bleech, na nyingine nyingi zinakuja. Kuingia darasani bonyeza picha hapo juu itakupeleka moja kwa moja kwenye darasa letu.  Unaweza kusikiliza utangulizi […]

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI PART 1 Read More »

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog

Je unatafuta njia ya kujipatia pesa kwenye mtandao ambayo siyo ya utapeli? Blog ni njia moja wapo unayoweza kuitumia kujipatia fedha huku ukifanya kile ukipendacho. Katika makala hii nitakushirikisha njia 14 unazoweza kuzitumia kupata pesa kwa kutumia blog yako. Kumbuka! Hizi si njia za kupata pesa za mteremko haraka haraka kwa usiku mmoja. Kamwe usidanganywe

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog Read More »

EIMU NA UHALISIA WA MAISHA

Profesa wa Chuo kikuu cha Makelele nchini Uganda, aliwambia wanafunzi kuwa:Mafanikio ya kielimu hayana uhalisi katika maisha. Niliyasema haya: Kuwa mtu wa kwanza darasani kwako hakuamanishi wewe utafanikiwa kimaisha. Unaweza kumaliza chuo kama mtaalamu wa fedha au uwekezaji na haiamanishi kwamba wewe utapata au utakuwa fedha nyingi kuliko wengine. Mwanafunzi mwenye ufaulu na shahada ya

EIMU NA UHALISIA WA MAISHA Read More »

STORY YA CHURA KATIKA MAFANIKIO YAKO

*CHURA* Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambacho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..! Kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake. pindi temp  inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake

STORY YA CHURA KATIKA MAFANIKIO YAKO Read More »

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI.

Habari rafiki wa piusjustus.com; Leo nimekuletea makala kwa njia ya video itakayokufundisha jinsi sahihi ya kujiajiri. Na hays ndio mambo muhimu matano (5) ya kujua kabla ya kuamua kujiajiri. Karibu usikilize!! sasa unaweza kupakua app yetu ili uwe wa kwanza kupata makala na video zinapowekwa mtandaoni. Bonyeza hapa kuipakua PIUS JUSTUS APP Ni mimi mwenye kujalia

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI. Read More »

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA.

Umbali uliopo kati ya malengo yako na mafanikio ni mrefu sana, na una vikwazo vingi sana, nafahamu fika ya kwamba hilo unalitambua vizuri sana.Umbali huo ambao upo baadhi ya watu ambao wana Mafanikio wameweka mikakati thabiti ambayo imewafanya wameweza kufanikiwa. Pia kwa upande watu ambao hawajafanikiwa kwa kiwango cha juu na wao katika malengo yao

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA. Read More »

USIOGOPE KUSHINDWA

Habari rafiki;Katika video yetu ya leo ningependa tuongelee mada inayoitwa USIOGOPE KUSHINDWA.watu wengi sana wanashindwa kufikia ndoto zao kwa sababu tu wanafikiri watashindwa na watachekwa kwa kushindwa kwao. Ndugu yangu, katika kusaka mafanikio kushindwa njiani ni jambo la kawaida sana, endelea kupambana hata kama unaona kuna dalili ya kushindwa wewe endelea tu. Michael Jordan alishawahi

USIOGOPE KUSHINDWA Read More »

DAKIKA 2 (2 minutes principle)

“Dakika 2 Zinatosha Kuanza”Kuna kitu kinaitwa Procrastination.  Hii inatamkwa _prokrastineishen Kwa ambao hamfahamu neno hili, hii ni hali ya kuahirisha mambo. Kila siku unatamani kuanza kufanya kitu fulani lakini unajikuta tu umeahirisha.Unatamani kuanza biashara, unaahirishaUnatamani kuomba kazi, unaahirishaUnatamani kuandika kitabu, unaahirishaUnatamani kumuambia unataka awe mkeo, unaahirishaUnatamani tuuu unatamaniii, unaahirishaKuna wakati unaweza kuahirisha kufanya jambo moja

DAKIKA 2 (2 minutes principle) Read More »