KUBALI WAJIBU BINAFSI

Natumaini umekuwa na siku njema kwako; Napenda nikushirikishe makala hii ambayo itakupatia nafasi ya kujikumbusha na kujifunza mambo yatakayoongeza thamani maishani mwako.Kuna siku nilikuwa napita barabarani maeneo ya stendi ya mabasi, nikamwona kijana mmoja akisukuma toroli lililosheheni mizigo. Bila shaka alikuwa kazini kwenye ajira yake akitoa huduma ya kuwabebea watu mizigo ili apate riziki aweze […]

KUBALI WAJIBU BINAFSI Read More »