FURSA

DARASA: JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI.

Habari rafiki mpenda maendeleo, sasa darasa letu liko wazi kwa sasa. Utajifunza utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile BATIKI, SABUNI YA KIPANDE pamoja na bidhaa nyigine nyingi. Kama uko tayari bonyeza HAPA kuingia darasani. Asante kwa kusapoti kazi yangu, naamini utafanikiwa katika hili. Wasiliana nasi  Whatsapp only | 0717375782        

DARASA: JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI. Read More »

NJIA TANO (5) BORA ZA KUKUZA BIASHARA YAKO.

Moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara walio wengi ni kutokujua kiundani juu ya biashara zao. Kutokana na changamoto hiyo ya kutokujua kiundani biashara zao, wafanyabiashara hao walio wengi hujikuta biashara zao huwa haziwi za muda mrefu na hata pale zinapokuwa za muda mrefu huwa hazikui. Naamini kwa kuwa lengo lako ni kukuza biashara, ni vyema

NJIA TANO (5) BORA ZA KUKUZA BIASHARA YAKO. Read More »

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog

Je unatafuta njia ya kujipatia pesa kwenye mtandao ambayo siyo ya utapeli? Blog ni njia moja wapo unayoweza kuitumia kujipatia fedha huku ukifanya kile ukipendacho. Katika makala hii nitakushirikisha njia 14 unazoweza kuzitumia kupata pesa kwa kutumia blog yako. Kumbuka! Hizi si njia za kupata pesa za mteremko haraka haraka kwa usiku mmoja. Kamwe usidanganywe

Njia 14 Halali za Kupata Pesa Kupitia Blog Read More »

Hatua Tano Muhimu Za Kufikia Malengo Uliyojiwekea

Hizi Ndizo Hatua Tano Muhimu Za Kufikia Malengo Uliyojiwekea. Habari rafiki, karibu katika makala nyingine ambayo tutazungumzia hatua 5 muhimu za kukusaidia wewe kufikia malengo yako uliyojiwekea. Ninatambua kila mwaka huwa unaweka malengo makubwa sana lakini huyafikii kwa sababu mbalimbali. Nimekuwekea hatua 5 za kupitia ili uweze kutimiza ndoto zako, twende pamoja. 1. Ni lazima

Hatua Tano Muhimu Za Kufikia Malengo Uliyojiwekea Read More »

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.

Habari rafiki yangu mpenda maendeleo, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda kukuletea shuhuda za baadhi ya watu ambao wamepata elimu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI na wamefanikiwa kutengeneza products hizo na wamenitumia picha za bidhaa zao na

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI. Read More »

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi Kama wewe ni mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma nzuri lakini unashindwa kuwafikia watu wengi kwenye mtandao basi hakikisha unanipa macho na masikio yako kwani huenda makala hii ikawa moja ya makala muhimu utakayosoma mwaka huu. Kutokana na uzoefu wangu wa kutumia mtandao kwa miaka zaidi

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi Read More »