MASHINE NDOGO YA KUTENGENEZA CHAKI.

Habari ya wakati huu mwanafamilia, natumai unaendelea na harakati za kukomboa maisha yako. Leo hii nakuletea nyenzo hii muhimu ambayo unaweza kuitumia na ikakuletea manufaa kabisa katika maisha yako.

Ni mashine ndogo ya kutengeneza chaki ambayo kila mtu anaweza kumiliki. Mashine hii ina uwezo wa kuzalisha chaki vipande 10,000-12,000 ambayo ni sawa na box 100-120.

Malighafi za kutengenezea ni;

  • Gypsum powder au P.O.P powder.
  • Maji
  • Mafuta ya taa/kula kwa ajili ya kulainishia mashine.

Gharama yake si kubwa kwa mtu anayependa kujishughulisha. Mashine hii inauzwa 350,000/- tu. Na tunaweza kukutumia popote ulipo na ikakufikia vizuri tu.

Unaweza kuangalia VIDEO hii ya jinsi mashine hii inavyofanya kazi.

Toa oda yako sasa kupitia Whatsapp No. 0659908078 au 0754745798 tutakuhudumia.

Ni mimi mpenda maendeleo yako;

Pius.

25 thoughts on “MASHINE NDOGO YA KUTENGENEZA CHAKI.”

  1. sylvester mgimba

    nimeipenda hiyo mashine napenda niipate naomba maelezo ya video ili niielewde zaid 0655653764 whatsup

    1. Chaki kuvunjika inatokana na aina ya materials unayotumia, kuna materials ambayo si imara, sisi tutakushauri ni materials gani mazuri utumie ili upate chaki bora zaidi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *