Pius Justus

JINSI YA KUANDAA CAUSTIC SODA (caustic solution)

Unaweza sasa kuandaa caustic solution wakati wa kutengeneza sabuni ya kipande. Caustic soda ni moja ya kiungo muhimu sana katika kutengeneza sabuni ngumu (mche au kipande). Bila hiyo huwezi kupata sabuni ya kipande. Sasa angalia VIDEO hii na ujifunze jinsi ya kutengeneza au kuandaa caustic Soda Solution kwa ajili ya kutengenezea sabuni. Wasiliana nasi; Whatsapp …

JINSI YA KUANDAA CAUSTIC SODA (caustic solution) Read More »

MASHINE YA KUTENGENEZA CHAKI

Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 10, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumii umeme Ni rahisi kutumia Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 20, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumiaa umeme Ni rahisi kutumia