Pius Justus

JINSI YA KUPATA FAIDA HADI MILLION 1 NDANI YA SIKU 30 KUPITIA MTANDAO WA INTERNET!

Habari Rafiki, unaendeleaje??Nina imani unaendelea vizuri sana, na bado upo katika harakati za kuboresha maisha yako, nipende kukutia moyo tu, kuwa uko katika hatua nzuri ya kufikia mafanikio yako, kwani ili kufikia mafanikio ni lazima kufanya kazi kwa bidii na akili pia.Katika makala yetu ya siku ya leo ninapenda kugusia ni jinsi gani utafaidika na …

JINSI YA KUPATA FAIDA HADI MILLION 1 NDANI YA SIKU 30 KUPITIA MTANDAO WA INTERNET! Read More »

Moja ya mtaji mkubwa ulionao kwenye maisha ni Upekee wako.Tatizo la wengi ni kuwa wanazaliwa hadi wanakufa hawajajua Kitu cha pekee walichonacho.~~~~~~~Kwenye kitabu chao cha “Now,Discover Your Strength”(Sasa,Gundua nguvu yako) waandishi Marcus Buckingham na Donald O. Clifton wanasema kila mtu ana uwezo wa kipekee ambao ni zaidi ya watu Elfu kumi wa karibu yake.~~~~~~~Unapogundua eneo …

Read More »

DON’T WAIT UNTILL THINGS GET READY!

Nilikutana na huyu mtu James mwang’amba back 2009, alikuwa akifundisha somo la self development kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na nilipata bahati ya kuhudhuria mafundisho yake kwa siku 2 mfululizo! Alizungumza kitu ambacho kili stick katika kichwa changu ambapo alisema USISUBIRI MPAKA MAMBO YAWE SAWA KUPIGANIA NDOTO ZAKO!! Kwa mara ya kwanza sikumuelewa kabisa, kwa …

DON’T WAIT UNTILL THINGS GET READY! Read More »

MAFUNZO BURE [JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET KUANZISHA AU KUKUZA BIASHARA YAKO]

Hellow Rafiki, natumai unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako, naamini kabisa unafanya juhudi za makusudi kufikia lengo hilo, na nikupongeze sana sana! Kama ambavyo nimekuahidi kuwa nimekuandalia kozi maalumu ambayo itakusaidia wewe kama kijana ambaye una malengo makubwa sana katika maisha yako. Kozi hii ni moja ya kozi muhimu sana ambayo itakusaidia kupiga …

MAFUNZO BURE [JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET KUANZISHA AU KUKUZA BIASHARA YAKO] Read More »

SAIKOLOJIA YA WATU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

Habari rafiki, natumai unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako na kuelekea katika uhuru wa kifedha. Katika mfululizo wa mada zetu juu ya jinsi ya kutumia mtandao wa internet kibiashara leo hii ninakuletea mada inayozungumzia Saikolojia ya watu walioko katika mitandao ya kijamii.Kama tunavyojua, katika mitandao ya kijamii ni sehemu ambako watu hukutana na …

SAIKOLOJIA YA WATU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Read More »

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO.

Habari rafiki, nafurahi kuwa pamoja na wewe siku ya leo tena ambapo ninakwenda kushea  na wewe mambo ya msingi sana unayotakiwa kuwa nayo kabla ya kuwa mjasiriamali wa mtandao. Kabla ya yote jana nilirusha video iliyokuwa inaonyesha jinsi nilivotumia mtamdao wa internet kutengeneza hadi million 7 na zaidi kupitia mtandao wa internet, kama hujaiona nitakuwekea …

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO. Read More »

MILLION 7,885,000/- NDANI YA SIKU 90 KWA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET.

Angalia video hii inayoonyesha jinsi nilivyotumia mtandao wa internet kuingiza hadi 7,885,000/- ndani ya siku 90. Angalia kisha chukua hatua. Kama umependezwa na video hiyo na ungependa kujifunza zaidi nakukaribisha kwenye group yetu mpya ya Whatsap kwa kubonyeza picha hii? Kama uko tayari kuanza safari hii ya mafanikio tafadhari jaza fomu hii Ni mimi mwenye …

MILLION 7,885,000/- NDANI YA SIKU 90 KWA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET. Read More »

ANZIA HAPO ULIPO

Muda sahihi wa kufanya maamuzi ilikuwa miaka 10 iliyopita, lakini muda mwingine sahihi wa wewe kuchukua hatua ni leo, huhitaji kuwa sahihi ili uweze kuanza, anza tu, Mungu atabariki!! Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako; Pius J. MuliriyeWhatsapp|0717375782