USIPANGE MALENGO 2021

Mwaka 2020 unaelekea ukingoni sasa,!

Najua watu wengi wataweka malengo mapya, na ndio utaratibu wa watu wengi kila mwaka unapoelekea mwishoni.

Lakini mimi nakwambia ACHA “KUWEKA MALENGO”

Nini ufanye sasa???

  • Tathmini malengo yako ya mwaka uliopita kama umeyatimiza au hapana.
  • Kama hujayatimiza, chunguza sababu ilikuwa nini mpaka hujatimiza malengo yako.
  • Ukishajua sababu ya kutotimiza malengo yako, tafakari utumie njia gani mbadala wa kuhakikisha unatimiza malengo yako kabla ya kuanza kuwaza malengo mapya.
  • Anza sasa kufanyia kazi malengo yako ambayo hukuyatimiza mwaka uliopita.
  • Weka deadline ya kutimiza malengo hayo.
  • Baada ya hapo, muda wowote fikiria kuhusu malengo mapya sasa.

Hizo ndio sababu muhimu zilizonifanya nikuandikie ujumbe huu, kuwa ACHA KUWEKA MALENGO MAPYA kama hujatimiza malengo yako ya nyuma.💪

Unaweza sasa kupata nakala yetu ya kitabu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI moja kwa moja kwenye simu yako. Bonyeza DOWNLOAD kukipata kwa bei ya punguzo msimu huu wa sikukuu.

JIUNGE SASA

* indicates required/

( mm / dd )


Tufuatilie katika mitandao ya kijamii

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *