MASHINE YA KUTENGENEZA CHAKI
Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 10, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumii umeme Ni rahisi kutumia Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 20, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumiaa umeme Ni rahisi kutumia