MBINU MUHIMU ZA KUPATA WATEJA WENGI KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK, INSTAGRAM na YUTUBE.
Je wewe ni mjasiriamali unayehangaika kila siku kupata wateja kwenye mtandao wa internet hasa facebook bila mafanikio? je, umejitahidi sana kupost picha za bidhaa zako kila group lakini hakuna anayeonyesha kupenda bidhaa yako na wanaishia kulike na kuondoka? Usijali, nipo hapa kwa ajili yako, kukusaidia, pamoja na kukufundisha mbinu mbalimbali za jinsi ya kuuza bidhaa […]
MBINU MUHIMU ZA KUPATA WATEJA WENGI KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK, INSTAGRAM na YUTUBE. Read More »