DON’T WAIT UNTILL THINGS GET READY!
Nilikutana na huyu mtu James mwang’amba back 2009, alikuwa akifundisha somo la self development kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na nilipata bahati ya kuhudhuria mafundisho yake kwa siku 2 mfululizo! Alizungumza kitu ambacho kili stick katika kichwa changu ambapo alisema USISUBIRI MPAKA MAMBO YAWE SAWA KUPIGANIA NDOTO ZAKO!! Kwa mara ya kwanza sikumuelewa kabisa, kwa […]
DON’T WAIT UNTILL THINGS GET READY! Read More »