HAMASIKA

KOSA UNALOLIFANYA KATIKA BIASHARA YAKO

Habari rafiki, natumaini uko salama kabisa na unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Leo nahitaji kukupa tip moja muhimu sana katika biashara yako. Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema biashara zao hazitoki, hazifanyi vizuri sokoni na wengine wamefikia hatua ya kusema biashara zao ni mbaya ndo maana hazinunuliwi. Leo nataka nikwambie, bidhaa yako ni

KOSA UNALOLIFANYA KATIKA BIASHARA YAKO Read More »

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.

Habari rafiki yangu mpenda maendeleo, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda kukuletea shuhuda za baadhi ya watu ambao wamepata elimu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI na wamefanikiwa kutengeneza products hizo na wamenitumia picha za bidhaa zao na

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI. Read More »

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI.

Habari rafiki wa piusjustus.com; Leo nimekuletea makala kwa njia ya video itakayokufundisha jinsi sahihi ya kujiajiri. Na hays ndio mambo muhimu matano (5) ya kujua kabla ya kuamua kujiajiri. Karibu usikilize!! sasa unaweza kupakua app yetu ili uwe wa kwanza kupata makala na video zinapowekwa mtandaoni. Bonyeza hapa kuipakua PIUS JUSTUS APP Ni mimi mwenye kujalia

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI. Read More »

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA.

Umbali uliopo kati ya malengo yako na mafanikio ni mrefu sana, na una vikwazo vingi sana, nafahamu fika ya kwamba hilo unalitambua vizuri sana.Umbali huo ambao upo baadhi ya watu ambao wana Mafanikio wameweka mikakati thabiti ambayo imewafanya wameweza kufanikiwa. Pia kwa upande watu ambao hawajafanikiwa kwa kiwango cha juu na wao katika malengo yao

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA. Read More »

USIOGOPE KUSHINDWA

Habari rafiki;Katika video yetu ya leo ningependa tuongelee mada inayoitwa USIOGOPE KUSHINDWA.watu wengi sana wanashindwa kufikia ndoto zao kwa sababu tu wanafikiri watashindwa na watachekwa kwa kushindwa kwao. Ndugu yangu, katika kusaka mafanikio kushindwa njiani ni jambo la kawaida sana, endelea kupambana hata kama unaona kuna dalili ya kushindwa wewe endelea tu. Michael Jordan alishawahi

USIOGOPE KUSHINDWA Read More »

Jinsi ya kutumia uwoga uliokuwa nao ili kufikia mafanikio makubwa

Woga ni kitu ambacho watu wote wanacho, hakuna mtu anayeishi duniani na ikawa hakuna kitu asichokiogopa na kama yupo mtu wa aina hiyo basi atakuwa ana matatizo ya akili. Lakini kwa wenye akili, kila binadamu duniani lazima atakuwa ana kitu kinachomfanya awe na woga fulani.  Wengi wetu huwa tunafikiria kuwa woga ni kitu kibaya, lakini

Jinsi ya kutumia uwoga uliokuwa nao ili kufikia mafanikio makubwa Read More »