VITABU

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.

Habari rafiki yangu mpenda maendeleo, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda kukuletea shuhuda za baadhi ya watu ambao wamepata elimu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI na wamefanikiwa kutengeneza products hizo na wamenitumia picha za bidhaa zao na …

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI. Read More »

VITABU MUHIMU KWAKO

Habari rafiki na mfatiliaji wa mtandao wangu wa www.shuletanzania.info na THINK BIG START SMALL napenda kukujulisha kuwa, kwa wale ambao wamekuwa wakinunua vitabu vyangu mbalimbali direct kutoka kwangu sasa nina habari njema kwako. Ili kuepuka usumbufu wa kukucheleweshea kitabu chako au kukuondolea usumbufu wa kuwasiliana nami kila unapohitaji kitabu changu basi nimekuletea huduma mpya ya kuweza kununua …

VITABU MUHIMU KWAKO Read More »

VITABU VYA MASOMO YOTE YA SEKONDARI

Jipatie kitabu hiki cha Geography form five kinachoendana na syllabus ya sasa.kitabu hiki kinapatikana kwa mfumo wa PDF ambao unaweza kusoma kwenye simu yako.kwa Tsh. 1000/= tu utajipatia kitabu hiki.Tuma pesa kwenda MPESA 0754745798 au TIGO PESA 0657128567 kwa majina ya PIUS MULIRIYE.Kisha nitumie text whatsapp nikutumie kitabu chako.KARIBU SANA. 

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017

Mimi kama C.O wa blog ya www.shuletanzania.info na facebook page ya THINKBIGSTARTSMALL napenda kuchukua fursa hii kuwatakia sikukuu njema wote wanofatilia makala zangu mbalimbali kwenye blog yangu ya www.shuletanzania.info na niwatakie mafanikio makubwa mwaka ujao 2017. Nipigie simu kwa ushauri,  kama umejaribu kujikwamua kimaisha na bado umeshindwa,  nitakushauri na utaweza kuamka tena. Kama utahitaji kushauliwa …

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017 Read More »

USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA.

Hii ni njia nyingine unayoweza kupitia kutengeneza kipato zaidi.  Jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa zinazohitajika kwa wingi na jamii inayokuzunguka. ShuleTanzania inakuletea kitabu ambacho kitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza chaki zinazotumika mashuleni.  Bidhaa hii ina soko kubwa sana hapa nchini,  hii ni kwa sababu kuna utitili wa shule nyingi sana na zote zinatumia …

USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA. Read More »

DHANA POTOFU JUU YA TANZANIA YA VIWANDA.

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini utakuwa salama kabisa na unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Kila mtu anawezakuwa shahidi wa kauli mbiu ya serikali ya awamu ya tano ya TANZANIA YA VIWANDA.   Watu wengi wamekuwa na dhana potofu juu ya kauli mbiu hii,  na watu wengi wamekuwa wakidhani Tanzania inataka kuleta wawekezaji …

DHANA POTOFU JUU YA TANZANIA YA VIWANDA. Read More »

Open chat
Unahitaji msaada?
Habari👋
Tupo kwa ajili yako, tuulize ili tukusaidie zaidi🙏