DHANA POTOFU JUU YA TANZANIA YA VIWANDA.

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini utakuwa salama kabisa na unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.
Kila mtu anawezakuwa shahidi wa kauli mbiu ya serikali ya awamu ya tano ya TANZANIA YA VIWANDA.  


Watu wengi wamekuwa na dhana potofu juu ya kauli mbiu hii,  na watu wengi wamekuwa wakidhani Tanzania inataka kuleta wawekezaji kutoka nchi za nje kuwekeza kwenye viwanda hapa nchini. Wanekuwa wakikaa na kuangalia tu jinsi watu wenye pesa zao wakijenga viwanda wakidhani kwamba wao ndio wana fursa ya kujenga viwanda tu.

Rafiki yangu,  unachelewa na unajichelwesha wewe mwenyewe.
Tanzania ya viwanda ipo kwa ajili ya watanzania wote haijalishi una hali gani kiuchumi.

Ukijiuliza Dangote alianza vipi mpaka kufikia mafanikio makubwa kwenye upande wa viwanda unaweza kusema umechelewa sana. Dangote amewekeza nchi nyingi sana Afrika lakini alianza kidogo kidogo mpaka hapo alipofikia.

”Unaweza ukamiliki kiwanda hata wewe”

Ninaposema ivo kuna mtu amekunja uso na anasema haiwezekani,  na hayo ndio mawazo ya watanzania wengi sana wenye upeo mdogo wa kufikiri. Wasioweza kuona mbali kutoka pale walipo.  Huhitaji kwenda shule kuamini hili. Watu wengi sana wanashinda kwenye mitandao ya kijamii wakichati tu lakini hawapeani fursa zilizopo au hawasomi yale ya muhimu ya kujenga maisha yao.  Kwa mtu anayesoma sana makala zangu na nyingine za watu mbalimbali atakuwa ananielewa vizuri sana.

Ninarudia tena,  unaweza ukawa miongoni mwa watu watakaokuwa wanamiliki viwanda vikubwa hapa nchini kama utachukua hatua moja mbele.

Nimekuwa nikifundisha watu kwenye group langu la whatsapp juu ya kumiliki kiwanda nyumbani kwako  na wameweza kuchukua hatua na sasa wamekuwa wazalishaji wa bidhaa mbalimbali. Hata wewe unaweza vilevile.

Kwa mara nyingine nimeweza kukuletea fursa nyingine ambayo ukiweza kuchukua hatua juu ya hilo basi ndani ya miezi mitatu tu utakuwa mbali sana na utarudi kunishukuru.

Kama uko serious fanya hili kabla ya shule kufunguliwa kwani ndio watakuwa wateja wako wakubwa.

Fursa nayokuletea ni ” JINSI YA UTENGENEZAJI WA CHAKI ZINAZOTUMIKA MASHULENI KWA TEKNOLOJIA RAHISI SANA”

Kwa wale waliozoea kushinda vijiweni hawataweza kuamini kama unaweza ukamiliki kiwanda cha kutengeneza chaki nyumbani kwako.  Kama wewe ni miongoni mwao basi ishia hapa kusoma hii makala kwani haikufai na kaendelee kupiga story na rafiki zako.

Hongera kwa kuendelea kusoma makala hii kwani umechagua fungu lililo jema litakalo badili maisha yako kabisa.

Kiwanda cha chaki ni kiwanda rahisi sana ambacho unaweza ukawa nacho nyumbani kwako.  Unaweza ukatumia eneo dogo tu na ukatengeneza mamilioni ya pesa mpaka ukashangaa.
Chaki ni bidhaa inayotumika mashuleni,  kwa hiyo una soko la kutosha,  naamini hapo ulipo kuna shule nyingi,  za msingi na sekondari,  angalia wilaya uliyomo ina shule ngapi,  ni zaidi ya mia moja,  hapo huwezi kusema huna soko,  kwa kuwa na shule mia tu katika wilaya uliyopo una uwezo wa kutengeneza zaidi ya 7,000,000/= (milioni saba) kwa mwezi.  Kuna watu huwa hawaamini juu ya hili.

Jifunze kufanya hili uone jinsi utakavyoweza kubadili maisha yako.
Najua kuna mtu atauliza malighafi ntatoa wapi? Nataka nikuhakikishie hapo ulipo kama kuna duka wanauza vifaa vya ujenzi basi utakuwa umepata malighafi karibu yako.  Kila eneo kuna duka la vifaa vya ujenzi,  na hapo utapata malighafi hizo.

Pia utengenezaji wa chaki hizi hauhitaji umeme kabisa. Hata kama unakaa sehemu isiyokuwa na umeme unaweza ukaendesha mradi huu vizuri kabisa.

Nikutie moyo tu,  hata wewe unaweza ukamiliki kiwanda hiki vizuri sana na ukatengeneza faida kubwa kabisa. Navosema hivi ninamaanisha,  ninajua bei ya chaki sokoni,  ninajua shule zinanunua kwa bei gani,  na ninakushauri ukiweza kuanza mradi huu tembelea mashuleni,  shule zinanunua Carton moja hadi Sh. 90,000/- mpaka 150,000/- yaani kwa box moja Sh. 3000 –  5000. 
Hakuna biashara itakayokufaidisha kama hii.

Kama unahitaji kujifunza utengenezaji wa bidhaa hii hatua kwa hatua basi usijali.  Nimekuandalia kitabu kilichoandaliwa vizuri na kinaonyesha hatua kwa hatua jinsi ya utengenezaji wa chaki hizo.

Katika kitabu utakutana na vitu vifuatavyo:-

  • Hatua za kufuata kabla ya kuanza uzalishaji. 
  • Maeneo yanapopatikana material ya kutengenezea chaki
  • Maeneo utakapopata mashine ndogo ambayo haitumii umeme na bei yake. 
  • Jinsi ya utengenezaji wa chaki zenyewe na jinsi ya uchanganyaji wa malighafi hizo. 
  • Jinsi ya kufanya packaging na wapi utapata vifungashio
  • Jinsi ya kupata masoko na jinsi ya kutangaza biashara yako bila gharana kabisa. 
  • Makadilio ya gharama za uendeshaji na faida yake baada ya mauzo. 
  • Na utajifunza njia za kufuata kupata mtaji. 
KARIBU ujipatie nakala yako,  nakala hii ipo katika nfumo wa kielectronic,  au PDF,  utatumiwa kwenye simu yako kupitia email au whatsapp. 


Kitabu hiki kinauzwa Sh. 10,000/- naamini hutajutia maarifa haya yatakayokupa fursa ya kubadili maisha yako. 

Unaweza kulipia kwa MPESA 0754745798 au TIGOPESA 0657128567 
Jina Pius 
Baada ya  malipo utatumiwa kwenye simu yako. 

KARIBU. Wasiliana nasi:-
Pius Justus Muliriye 
0754745798 – whatsapp 
0657128567 
piusjustus28@gmail.com 
www.shuletanzania.info 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *