KITABU: MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI
Sasa unaweza kununua kitabu hiki moja kwa moja kwenye simu yako. Bonyeza HAPA kununua kitabu hiki. VIDEO: JINSI YA KUNUNUA KITABU HIKI.
Sasa unaweza kununua kitabu hiki moja kwa moja kwenye simu yako. Bonyeza HAPA kununua kitabu hiki. VIDEO: JINSI YA KUNUNUA KITABU HIKI.
Kutengeneza mafuta ya nazi nyumbani ni mchakato rahisi. Hapa kuna maelekezo ya jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi: Vifaa vinavyohitajika: Pakua kitabu cha mafunzo haya kwa kubonyeza hapa👇 https://www.getvalue.co/prod/miliki_kiwanda_miliki_uchumi1 Hatua za kufuata: Mafuta ya nazi yataganda wakati joto la mazingira linapopungua, lakini unaweza kuyeyusha kidogo kwa kuweka kwenye jua au jikoni. Pakua kitabu cha mafunzo …
NINI KAZI YA SODIUM LAUCTATE (SODIUM SILCATE) KATIKA SABUNI YA MCHE? Sodium lactate(Sodium silcate) ni kiungo kinachotumiwa katika utengenezaji wa sabuni kwa sababu ya faida zake kadhaa. Kwa mfano: Kwa hiyo, sodium lactate (sodium silcate) ni kiungo muhimu katika utengenezaji wa sabuni, kwa sababu ya faida zake katika kuongeza nguvu, kudumisha unyevu, kupunguza pH, na …
KAZI YA SODIUM SILCATE KWENYE SABUNI YA KIPANDE. Read More »
Kuna njia kadhaa za kupata pesa kupitia WhatsApp: Uza bidhaa au huduma: Unaweza kutumia WhatsApp kuwasiliana na watarajiwa na kuuza bidhaa au huduma. Uuzaji wa washirika: Unaweza kutumia WhatsApp kukuza bidhaa au huduma kutoka kwa kampuni zingine na kupata kamisheni kwa kila mauzo inayofanywa kupitia kiunga chako cha kipekee cha ushirika. Toa huduma za kujitegemea: …
NGUDU SECONDARY SCHOOL JOINING INSTRUCTIONS FOR FORM FIVE 2021. Sasa unaweza kupakua JOINING INSTRUCTIONS ya Shule ya Sekondari Ngudu kwa wanaojiunga na kidato cha Tano mwaka 2021. DOWNLOAD
Unaweza sasa kuandaa caustic solution wakati wa kutengeneza sabuni ya kipande. Caustic soda ni moja ya kiungo muhimu sana katika kutengeneza sabuni ngumu (mche au kipande). Bila hiyo huwezi kupata sabuni ya kipande. Sasa angalia VIDEO hii na ujifunze jinsi ya kutengeneza au kuandaa caustic Soda Solution kwa ajili ya kutengenezea sabuni. Wasiliana nasi; Whatsapp …
JINSI YA KUANDAA CAUSTIC SODA (caustic solution) Read More »
Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 10, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumii umeme Ni rahisi kutumia Mashine hii ina matundu 100 Ina uwezo wa kuzalisha pc 20, 000 kwa siku Inatumika na mtu mmoja au wawili Haitumiaa umeme Ni rahisi kutumia
Jipatie muzani huu kwa ajili ya kupata vipimo sahihi vya kutengenezea bidhaa za ujasiriamali. Wasiliana nasi whatsapp kupata muzani wako sasa; 0754745798 au 0659908078
Video hii inaonesha mashine ambayo unaweza kutengenezea chaki, inauzaa bei rahisi sana ambayo kila mjasiriamali anaweza kuimiliki. Kwa mahitaji ya mashine hizi wasiliana nasi Whatsapp 0754745798. Asante Sana.
Mtandao umekuwa ni mkombozi mkubwa sana katika maisha yangu na umenisaidia kutengeneza pesa nyingi sana ambazo sikuwahi kufikiria maishani. . . Siku ambayo nilifanya maamuzi ya kujifunza jinsi ya kutumia mtandao wa internet kutengeneza kipato, ndipo nilipoona njia ya mafanikio. . Na siku nilipoanza kufanyia kazi mbinu nilizojifunza ndio ilikuwa siku ya ukombozi kwangu kwani …