JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE

Habari mwana familia wa PM PROJECTS, natumaini unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako. Leo hii tutajifunza ni jinsi gani ya kutengeneza sabuni za mche kwa njia rahisi kabisa. Kabla ya kuendelea tutaangalia mahitaji muhimu yanayohitajika katika kutengeneza sabuni hizo. Mafuta ya kula (yenye uwezo wa kuganda) Cautic soda Maji baridi Sodium silcate Rangi

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MCHE Read More »