Kitabu kipo kwenye mfumo wa SOFTCOPY, mfumo ambao unaweza kusomea kwenye simu yako. unatumiwa kupitia Whatsapp au Email yako.
Ndani ya kitabu kuna Jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile;
Sabuni ya mche, Sabuni za magadi, sabuni za maji, shampoo, tiles cleaner, glass cleaner, jik, sabuni za unga, chaki, unga wa lishe, mishumaa, mafuta ya mgando, Tomato source, jinsi ya kuandika mpango biashara, jinsi ya kusajiri biashara n.k
Kuhusu batiki ni VIDEO tu, huwezi kusoma batiki kwenye kitabu, tafadhari wasiliana nasi whatsapp ili tukupatie video, gharama yake ni sh. 15,000/-
whatsapp 0754745798
Me nilinunua lkn cm nienda flash so nmekwama hapo tafadhal nisaidie kurudsha hili file lako la kitabu mana nlikua najifunzia humu
Tuandikie ujumbe whatsapp no. 0659908078 ukiambatanisha na namba tuliyokutumia kitabu kwa mara ya kwanza.
Hongera sana bro Pius nakufatilia sana since day 1 May God bless u?? uzid kutusaidia maana asaiv nmejua kutengeneza vtu vingi
Asante sana ndugu. Nafurahi kusikia hivo. Karibu sana!
Hongera sana Mr Pius soon nanunua kitabu chako ili nami niweze kujifunzaa
Asante sana ndugu. tuko pamoja
Nataka npate hardcopy ya kitabu chako, npo tarime, mkoani Mara
Wasiliana nasi whatsapp 0754745798 tukupe utaratibu wa kukipata.
Kitabu cha utengenezaji wa sabuni
Karibu ndugu. Wasiliana nasi whatsapp 0754745798 au 0659908078 nikupe utaratibu wa kukipata. Karibu sana.
Nataka kitabu najaribu kununua on line nashindwa.
Msaada
Ole Ndaskoi
Samahan kwa kupata shida. Kuna mambo ya kiufundi tunayafanyia kazi. Nitakupa mrejesho kabla ya jumamosi ili uweze kupata copy yako.
Abari za siku yingi natamani kupata kitabu chako nifanyeje ndgu?
Kitabu kipo kwenye mfumo wa SOFTCOPY, mfumo ambao unaweza kusomea kwenye simu yako. unatumiwa kupitia Whatsapp au Email yako.
Ndani ya kitabu kuna Jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile;
Sabuni ya mche, Sabuni za magadi, sabuni za maji, shampoo, tiles cleaner, glass cleaner, jik, sabuni za unga, chaki, unga wa lishe, mishumaa, mafuta ya mgando, Tomato source, jinsi ya kuandika mpango biashara, jinsi ya kusajiri biashara n.k
Gharama yake ni sh. 5, 000/-.
Baada ya kufanya malipo unatumiwa muda huohuo.
No.ya malipo ni
MPESA 0754745798-PIUS JUSTUS
TIGOPESA 0659908078-PIUS JUSTUS.
KARIBU?
Kaka na vya kutengeneza batiki pia vpo?au ni hicho hicho
Kuhusu batiki ni VIDEO tu, huwezi kusoma batiki kwenye kitabu, tafadhari wasiliana nasi whatsapp ili tukupatie video, gharama yake ni sh. 15,000/-
whatsapp 0754745798
Link ya kununua kitabu haifunguki
bonyeza hii itafunguka boss https://www.getvalue.co/prod/miliki_kiwanda_miliki_uchumi1