UJASIRIAMALI VIDEO

JINSI YA KUANDAA CAUSTIC SODA (caustic solution)

Unaweza sasa kuandaa caustic solution wakati wa kutengeneza sabuni ya kipande. Caustic soda ni moja ya kiungo muhimu sana katika kutengeneza sabuni ngumu (mche au kipande). Bila hiyo huwezi kupata sabuni ya kipande. Sasa angalia VIDEO hii na ujifunze jinsi ya kutengeneza au kuandaa caustic Soda Solution kwa ajili ya kutengenezea sabuni. Wasiliana nasi; Whatsapp […]

JINSI YA KUANDAA CAUSTIC SODA (caustic solution) Read More »

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI.

Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.   Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »