TENGENEZA PESA KWA KUTUMIA BLOG.

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI.

Habari rafiki yangu, naamini unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako.   Kama ilivyo kawaida yangu nakufunulia fursa mbalimbali ambazo ukiamua kuchukua hatua unaweza kubadili maisha yako kabisa. Cha msingi sana ni kuchukua hatua. Leo nakuletea fursa ya kutengeneza batiki, fursa ambayo si wengi sana wanaijua kwa maana ya jinsi ya kutengeneza, hata kama […]

MAMBO NANE (8) MUHIMU SANA YA KUFAHAMU KABLA YA KUTENGENEZA BATIKI. Read More »

KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG

Wiki chache zilizopita SHULE TANZANIA iliendesha mafunzo mafupi ya jinsi ya kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog. Mafunzo haya yalikuwa na mafanikio makubwa sana kwani washiriki walijifunza mbinu mbalimbali za kuweza kukuza blog zao na kuzibadilisha kuwa biashara.Pamoja na kutoa muda mrefu wa kujiunga na mafunzo haya, bado kuna watu wengi sana ambao waliyakosa mafunzo

KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG Read More »