KITABU; JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG

Wiki chache zilizopita SHULE TANZANIA iliendesha mafunzo mafupi ya jinsi ya kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog. Mafunzo haya yalikuwa na mafanikio makubwa sana kwani washiriki walijifunza mbinu mbalimbali za kuweza kukuza blog zao na kuzibadilisha kuwa biashara.

Pamoja na kutoa muda mrefu wa kujiunga na mafunzo haya, bado kuna watu wengi sana ambao waliyakosa mafunzo haya. Baada ya mafunzo kuisha kila siku kumekuwa na watu ambao wanahitaji kupata mafunzo haya. Ni vigumu kurudia kuendesha tena mafunzo haya kwa sababu kuna vitu vingi vya kufanya wakati wa kuendesha mafunzo ndio maana kuna ratiba maalumu za kuendesha mafunzo.

Kwa kuwa elimu hii ni muhimu sana na inaweza kumkomboa mtanzania yeyote anayetaka kutengeneza kipato kikubwa nimeona sio busara kwa watu wengi kuikosa elimu hii. Hivyo nimetoa kitabu kinachoitwa JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG. Kitabu hiki kimejaa mbinu muhimu za kutengeneza fedha ambazo ainafanya kazi kwenye mazingira yetu ya kitanzania na ndio huwa nazitumia kila siku.

Katika kitabu hiki utajifunza jinsi ya kutengeneza blog hata kama hujui kabisa na jinsi ya kuikuza na kuifanya kuwa biashara kubwa.

Kitabu hiki kina mafunzo yafuatayo;
1. Utambulisho wa blog na aina mbalimbali za blog.
2. Jinsi ya kutengeneza blog
3. Njia mbalimbali za kutengeneza fedha kupitia blog.
4. Kuweka misingi ya blog yako na kuchagua mtindo wako.
5. Uandishi wa makala zenye mvuto.
6. Kujenga hadhira na kuvutia wasomaji wengi zaidi(email list).
7. Kuunganisha blog na mitandao mingine ya kijamii ili kupata wasomaji wengi zaidi.
8. Kuchagua njia ya kuingiza fedha kutumia blog.
9. Uandishi wa makala za kuuzia bidhaa au huduma na siri iliyoko nyuma ya utafutaji wa masoko.
10. Kutengeneza fedha kusiko na kikomo kupitia blog yako.
11. Kutofautisha blog yako na blog nyingine na jinsi ya kuendelea kuikuza zaidi.
Masomo hayo yameelezewa kwa lugha rahisi na wakati mwingine kwa kutumia picha ili kuweza kukurahisishia wewe kuelewa.

Pata kitabu hiki mara moja ili uweze kutengeneza misingi yako ya kuweza KUTENGENEZA KIPATO KISICHO NA KIKOMO KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG.
Kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa PDF na kinatumwa kwa njia ya EMAIL au WHATSAPP
Gharama ya kitabu hiki ni tsh elfu kumi(5,000/=) unatuma fedha hiyo kwa MPESA-0754745798 AU TIGO PESA-0657128567 (PIUS MULIRIYE) kisha unatuma email address yako kwa meseji kwenye moja ya namba hizo au niandikie meseji whatsapp kwa namba 0754745798 na unatumiwa kitabu mara moja.

Pata kitabu hiki na uanze kujenga misingi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao. Uzuri wa kutengeneza pesa kwenye mtandao ni kwamba hakuna kikomo na unaweza kufanya kazi popote ulipo. Kikomo cha kiwango cha fedha unachoweza kutengeneza unaweka mwenyewe, ukiwa na juhudi na maarifa kipato kinakuwa kikubwa. Unaweza kufanyia kazi zako ofisini, nyumbani au sehemu yoyote unayoona ni nzuri kwako. Tembelea blog yangu uone ninavyofanya kutengeneza pesa kwa kutumia blog www.shuletanzania.info

Kupitia kitabu hiki unapata nafasi kubwa ya kuyaboresha maisha yako.
Karibu sana upate kitabu hiki ambacho kitaboresha maisha yako kwa kiasi kikubwa sana.

ASANTE SANA NA KARIBU SANA KATIKA DUNIA YA MTANDAO.
(Kumbuka, usipojifunza leo kuhusu technolojia hii utalazimika kujifunza baadae kwa gharama kubwa sana. Jifunze mapema ili kesho uwe mwalimu wa wengine na utengeneze kipato zaidi.)

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *