USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA.

Hii ni njia nyingine unayoweza kupitia kutengeneza kipato zaidi.  Jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa zinazohitajika kwa wingi na jamii inayokuzunguka.

ShuleTanzania inakuletea kitabu ambacho kitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza chaki zinazotumika mashuleni.  Bidhaa hii ina soko kubwa sana hapa nchini,  hii ni kwa sababu kuna utitili wa shule nyingi sana na zote zinatumia chaki,  na utaweza kutengeneza zaidi ya Sh. 60,000/- hadi 90,000/- kwa carton ukifanya biashara na shule,  ukipiga hesabu kwa carton 100 tu utapata pesa kiasi gani.

UNASUBIRI NINI KUCHUKUA HATUA?

Jipatie copy yako kwenye simu yako na ujifunze,  utafata procedures kwenye kitabu na utaweza kutengeneza vizuri kabisa.

Katika kitabu utakutana na vitu vifuatavyo:-

?Hatua za kufuata kabla ya kuanza uzalishaji.

?Maeneo yanapopatikana material ya kutengenezea chaki

?Maeneo utakapopata mashine ndogo ambayo haitumii umeme na bei yake.

?Jinsi ya utengenezaji wa chaki zenyewe na jinsi ya uchanganyaji wa malighafi hizo.

?Jinsi ya kufanya packaging na wapi utapata vifungashio

?Jinsi ya kupata masoko na jinsi ya kutangaza biashara yako bila gharana kabisa.

?Makadilio ya gharama za uendeshaji na faida yake baada ya mauzo.

?Na utajifunza njia za kufuata kupata mtaji.

KARIBU ujipatie nakala yako,  nakala hii ipo katika nfumo wa kielectronic,  au PDF,  utatumiwa kwenye simu yako kupitia email au whatsapp.

Utapata nakala yako kwa Sh. 5000/- tu na utaingizwa kwenye group la whatsapp ambalo nitafundisha jinsi ya kutengeneza chaki hizi na faida yake.

 USIKUBALI MWAKA MWINGINE UISHE BILA KUCHUKUA HATUA YA KUBADILI MAISHA YAKO.

Wasiliana nasi
Pius Justus Muliriye
0754745798 – Whatsapp
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *