HAMASIKA

HIKI NDIO KITU CHA KUFANYA MUDA WA LIKIZO

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.Naamini wewe unayesoma hapa ni mfanya kazi au mwanafunzi au hata mjasiliamali.Napenda kukudokezea wewe kijana mwenzangu kwamba hiki ndicho unatakiwa kukifanya wakati wa likizo kama wewe ni mfanya kazi au mjisiliamali. Kama unataka kuongeza kipato chako basi unapaswa kufanya biashara hii ambayo ni […]

HIKI NDIO KITU CHA KUFANYA MUDA WA LIKIZO Read More »

MAMBO MATANO WANAYOYAFANYA WATU WALIOFANIKIWA KILA SIKU (FIVE THINGS SUCCESSFUL PEOPLE DO EVERY DAY)

Habari mdau wa maendeleo, natumai u mzima wa afya ya kutosha, ni jambo la kumshukuru Mungu kwa neema hiyo, na kama hautakuwa salama basi usijali ni changamoto za maisha tu, hayo ni mapito na kila kitu kitakuwa sawa tu. Leo ninapenda nikushirikishe mambo matano (5) muhimu katika maisha ambayo kila aliyefanikiwa katika Nyanja ya maisha

MAMBO MATANO WANAYOYAFANYA WATU WALIOFANIKIWA KILA SIKU (FIVE THINGS SUCCESSFUL PEOPLE DO EVERY DAY) Read More »

SEMINAR YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI

Habari mdau wa maendeleo na msomaji wa Shule Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha yako. Leo napenda kuwashukuru wote waliobahatika kuhudhuria semina niliyoiendesha kupitia group langu la Whatsapp,  natumai mmejifunza mambo mengi mazuri juu ya utengenezaji wa sabuni za mche,  sabuni za maji na bidhaa zingine. Kwa wale ambao hamkubahatika kuona tangazo na

SEMINAR YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI Read More »