MBINU MUHIMU ZA KUPATA WATEJA WENGI KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK, INSTAGRAM na YUTUBE.

Je wewe ni mjasiriamali unayehangaika kila siku kupata wateja kwenye mtandao wa internet hasa facebook bila mafanikio?
je, umejitahidi sana kupost picha za bidhaa zako kila group lakini hakuna anayeonyesha kupenda bidhaa yako na wanaishia kulike na kuondoka?
Usijali, nipo hapa kwa ajili yako, kukusaidia, pamoja na kukufundisha mbinu mbalimbali za jinsi ya kuuza bidhaa yoyote mtandaoni hasa kupitia facebook, nitakupa mbinu niliyoitumia kuuza COPY 1221 za kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.
Kama unataka na ungependa kuyajua yote hayo, jiunge na darasa letu litakalofanyika baada ya siku tatu kuanzia sasa kupitia WHATSAPP GROUP. Jiunge sasa kwa kubonyeza HAPA kujiunga moja kwa moja.

  • Darasa letu litafanyika kwa njia ya mtandao ili kuwafikia watu wengi zaidi wanaohangaika kupata wateja mtandaoni licha ya kuwa na bidhaa nzuri sana.
  • watu wengi wamekuwa wakipost picha nyingi sana kwenye magroup mbalimbali ya facebook na hata instagram lakini watu hawana time kabisa na biashara zao. Nataka nikutie moyo tu, si kwamba biashara yako ni mbaya, ni nzuri sana, ila unakosea sana jinsi ya kutangaza biashara yako, watu wako tayari kununua, lakini wewe ndio hauko serious kuuza…!! najua unaguna, lakini huo ndio ukweli.
  • Tatizo hili lilinikuta mwanzoni kabisa nimemaliza kuandika kitabu changu kizuri sana, nikajitahidi sana kusambaza picha za kitabu changu facebook, na instagram, lakini hakuna mtu aliyeweza kukua wala hata kulike picha ya kitabu changu….na hapo ndipo nilipochukua hatua na kugundua kosa kubwa nililokuwa nafanya, nikarekebisha, na ndani ya muda mfupi wale waliokuwa wanalipita tangazo langu wakawa wateja wangu, sasa nimeweza kuuza zaidi ya COPY 1221 kwa sh. 5000/- kila copy na naendelea kuuza mpaka sasa na naamini nitaendelea kuuza kila siku, na lengo langu ni kuuza nakala zaidi ya 100,000 kabla ya mwaka huu kuisha na nitafanikiwa kwa sababu tayari nina mbinu za kufanya hivo. 
  • Katika darasa hili nitakufundisha FOMULA KUBWA NA INAYOFANYA KAZI katika biashara ya mtandao wa internet inayoitwa 4M naamini itakusaidia sana.
  • Darasa letu hili la whatsapp litafanyika kwa utaalamu wa hali ya juu ili kila mtu aibuke muuzaji mkubwa mtandaoni, hata kama huna biashara yoyote naamini utapata wazo la biashara ukiwa darasani na nitakupa list ya biashara rahisi za kufanya mtandaoni na utafurahia kuwepo katika mitandao hii.
  • Usiishie kutumia MB zako kuperuzi mitandao kila siku bila ya kuingiza chochote, ni muda sasa wa kutumia technolojia kujifaidisha wenyewe. Kumbuka sasa hivi asilimia takribani 80 ya vijana na watu wazima wako kwenye mtandao, huna budi kulitumia soko hilo.
  • Katika darasa letu utajiunga bure kabisa, baada ya siku moja ya mafunzo na ukaona darasa linakufaa basi utatakiwa kuchangia gharama kidogo sana kiasi cha Sh. 3000/- tu, katika pesa hiyo utapata mafunzo yote ya NAMNA AU JINSI YA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI na pia utapata copy ya kitabu cha FACEBOOK MASOKO ambacho itauzwa Sh. 5000/- lakini utakipata bure kabisa ukiwa katika darasa letu.
KARIBU ujiunge na darasa sasa kwa kubonyeza maandishi haya WHATSAPP BISINESS SCHOOL

Kwa taarifa zaidi kuhusu semina hii, tuandikie meseji au tupigie kupitia mawasiliano haya;

PIUS JUSTUS MULIRIYE
0754745798-WHATSAPP
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *