Makosa 7 Unayofanya Katika Kutangaza Biashara Yako Katika Mtandao Wa Facebook

  1. Huna brand yako binafsi na unatangaza aina ya bidhaa au huduma ambayo maelfu ya watu wengine wanatangaza jambo ambalo linakuzamisha kwenye ushindani mkubwa.
  2. Huna mfumo wa mauzo ya mtandao (online marketing system) wenye kukusaidia kukufanyia mauzo kwa niaba yako.
  3. Huna kurasa ya biashara ya Facebook (Facebook Business Page) na hata kama unayo inatangaza brand ya kampuni nyengine.
  4. Hulengi kundi la watu maalum kwa ajili ya bidhaa au huduma unazoto toa. Badala yake unajaribu kuuza kwa kila mtu.
  5. Unakimbilia kuuza bidhaa badala ya kuanza kujenga uwaminifu kwa wateja wako watarajiwa.
  6. Unatangaza bidhaa badala ya kutangaza utatuzi wa matatizo ya wateja wako watarajiwa.
  7. Unatumia ma group ya Facebook kutangaza bidhaa zako badala ya kulipia matangazo.
Haya ndio makosa makubwa yanayofanywa na wajasariamali na wafanyabiashara wengi katika mtandao wa Facebook na kama weweunahangaika kupata wateja wengi kupitia mtandao huo wa Facebookbasi utakuwa unafanya mengi yao.
kama unahitaji kujifunza namna nzuri ya kutangaza biashara yako na kupata wateja wengi sana kwenye mtandao basi ungana nasi kwenye darasa letu la WHATSAPP na ujifunze mengi. Kujiunga bonyeza maandishi haya WHATSAPP BUSINESS SCHOOL
Au unaweza kubonyeza picha hii ya Whatsapp kujiunga; 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *