Uncategorized

JINSI YA KUPATA FAIDA HADI MILLION 1 NDANI YA SIKU 30 KUPITIA MTANDAO WA INTERNET!

Habari Rafiki, unaendeleaje??Nina imani unaendelea vizuri sana, na bado upo katika harakati za kuboresha maisha yako, nipende kukutia moyo tu, kuwa uko katika hatua nzuri ya kufikia mafanikio yako, kwani ili kufikia mafanikio ni lazima kufanya kazi kwa bidii na akili pia.Katika makala yetu ya siku ya leo ninapenda kugusia ni jinsi gani utafaidika na …

JINSI YA KUPATA FAIDA HADI MILLION 1 NDANI YA SIKU 30 KUPITIA MTANDAO WA INTERNET! Read More »

MAFUNZO BURE [JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET KUANZISHA AU KUKUZA BIASHARA YAKO]

Hellow Rafiki, natumai unaendelea vizuri na harakati za kukomboa maisha yako, naamini kabisa unafanya juhudi za makusudi kufikia lengo hilo, na nikupongeze sana sana! Kama ambavyo nimekuahidi kuwa nimekuandalia kozi maalumu ambayo itakusaidia wewe kama kijana ambaye una malengo makubwa sana katika maisha yako. Kozi hii ni moja ya kozi muhimu sana ambayo itakusaidia kupiga …

MAFUNZO BURE [JINSI YA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET KUANZISHA AU KUKUZA BIASHARA YAKO] Read More »

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO.

Habari rafiki, nafurahi kuwa pamoja na wewe siku ya leo tena ambapo ninakwenda kushea  na wewe mambo ya msingi sana unayotakiwa kuwa nayo kabla ya kuwa mjasiriamali wa mtandao. Kabla ya yote jana nilirusha video iliyokuwa inaonyesha jinsi nilivotumia mtamdao wa internet kutengeneza hadi million 7 na zaidi kupitia mtandao wa internet, kama hujaiona nitakuwekea …

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO. Read More »

NGUVU YA MTANDAO

Mitandao ya kijamii imekuwa na mchango mkubwa sana kukuza biashara za wajasiriamali wengi sana, japokuwa wengi hawaitumii ipasavyo kabisa.Jiulize una muda gani kwenye mitandao hii Facebook, Instagram, Yutube, Blog n.k na umefaidika kiasi gani????Kama hujafaidika chochote basi ni Muda wa KUCHUKUA HATUA MARA MOJA!!! Ni mim mwenye kujali mafanikio yako PIUS J. MULIRIYE0717375782 – Whatsapp …

NGUVU YA MTANDAO Read More »

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID.

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID. Habari rafiki. Leo saa 21:30 usiku kwa mara ya kwanza nitakuwa nikifanyiwa interview na Dr. Saiid Said ambaye ni mtaalamu wa biashara ya mtandao (online marketing) kupitia kampuni yake ya “onlineptofits”, Huyu ndiye mtu ambaye alinisaidia kufikia hatua kubwa sana katika biashara yangu kupitia kozi yake niliyonunua online …

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID. Read More »

1000+ YUTUBE SUBSCRIBERS

Haikuwa kazi rahisi sana ya kushawishi hadi kufikisha idadi hii ya watu wanaopenda kazi yako. ~~~~~~Unaweza ukaona mtu ana mafanikio makubwa  kwa kazi anayoifanya ukaona ni rahisi sana, lakini tambua katika mafanikio ni lazima upitie changamoto sana.~~~~~~~Kupitia yutube kama channel yako haizungumzii udaku na mambo yasiyokuwa na maana huwezi kufikisha subscribers 1K, itakuchukuwa muda mrefu …

1000+ YUTUBE SUBSCRIBERS Read More »