CHUKUA HATUA SASA.
CHUKUA HATUA SASA. Read More »
Tutafakari pamoja hoja hizi za mwenzetu ole mushiTUMEMWACHIA RUGE JUKUMU LA KUFUNDISHA WATANZANIA NINI MAANA YA FURSA?Na Thadei Ole Mushi. #Huwa nacheka sana ninapoona mawaziri wetu wakikimbizana na Ruge mikoani kuzindua kitu kinachoitwa Fursa. Najiuliza pale Mlimani wanafundisha nini? Najiuliza pale SUA wanafundisha nn? Najiuliza shule zetu za A Level wanafundisha nn? Huku ngazi za
Hellow;Leo nimekuandalia video itakayokuelekeza jinsi ya kupata kiasi cha pesa unachohitaji. Ambatana nami kuangalia video hii. Asante sana. Pius Justus Muliriye 0754745798
JINSI YA KUPATA PESA UNAYOHITAJI Read More »
Joyce Ryoba ni mwanamke mwenye shahada ya pili(Masters Degree) katika elimu ya jamii kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye hakutaka kuajiriwa na sasa akiwa amejikita katika ubunifu wa nguo . Akiwa anasoma shahada ya kwanza mwaka wa mwisho Joyce alianza kujitoa kusaidia watoto walio mtaani na hata alipomaliza aliendelea kufanya hivyo japo maisha yalikuwa si rafiki
MWANAMKE MSOMI ALIYEJIKITA KATIKA USHONAJI Read More »
Mitandao ya kijamii si tu inatumika kwa kuwaunganisha watu au kupata taarifa mbalimbali bali hata kibiashara pia. Yapo makampuni, mashirika na watu binafsi wanaitumia vema kibiashara na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa tu. Sasa na wewe unashindwa nini kufanya hivyo ikiwa unawashuhudia wengine wakinufaika na biashara zao? Lakini kabla ya kuamua kutumia mitandao ipi ya kijamii
MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUNUFAISHA BIASHARA YAKO Read More »
Huna brand yako binafsi na unatangaza aina ya bidhaa au huduma ambayo maelfu ya watu wengine wanatangaza jambo ambalo linakuzamisha kwenye ushindani mkubwa. Huna mfumo wa mauzo ya mtandao (online marketing system) wenye kukusaidia kukufanyia mauzo kwa niaba yako. Huna kurasa ya biashara ya Facebook (Facebook Business Page) na hata kama unayo inatangaza brand ya kampuni nyengine. Hulengi kundi la
Makosa 7 Unayofanya Katika Kutangaza Biashara Yako Katika Mtandao Wa Facebook Read More »
Habari Rafiki yangu mpendwa na msomaji wa makala zangu katika mtandao huu wa Shule Tanzania. Nimekuwa nikiandika makala mbalimbali kuhusu mtu kujitambua na kuweza kutumia kile kilicho ndani yake kufanya mabadiliko katika maisha yake. Naamini umekuwa ukipata mafunzo haya mara kwa mara na umekuwa ukichukua hatua, kama ni mtu wa kusoma tu halafu huchukui hatua
PATA FAIDA YA HADI 10% MPAKA 15% NA KAMPUNI HII Read More »
©Eskimi 1. Epuka kununua vitu bila mpangilio usioelewaka. Mfano sisi wanaume unaweza kununua viatu vichache vyenye ubora ili fedha yako uipeleke kwenye malengo yako. 2. Epuka kushindana na fashion. Unaweza ukajiwekea kipindi maalumu cha kufanya manunuzi ya nguo na vitu vingine ambavyo vinaendana na hivyo. kutaka kila nguo nzuri inayotoka na ili kuonekana nayo, hii tabia
NAMNA YA KUISHI KWA KUJIWEKEA AKIBA (SAVINGS) ILI KUWEZA KUFIKIA MALENGO BINAFSI Read More »
KUFANIKIWA KATIKA MAISHA SIO ELIMU TU, BALI NA UJASIRI WA KUJIAMINI NA KUTHUBUTU! Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa ni wale wa
ACHA KUJIDANGANYA, HUU NDIO UKWELI. Read More »