Habari rafiki yangu na mfatiliaji wa mtandao huu wa shuletanzania.
Katika mfululizo wa makala zangu za kukuonyesha ni product gani zinazotengenezwa kwa njia rahisi na kutengeneza pesa nyingi.
Nimekufundisha kuhusu mambo mengi hasa kupitia channel yangu ya yutube, unaweza kuangalia kama hujafanikiwa kuona video hiyo.
Leo nakushirikisha kuhusu mgodi mwingine ambao bado watu hawajaujua sana na wale wanaoujua hawajajua watafanyaje ili kupata ubora na jinsi gani waingie sokoni.
Bidhaa hiyo ni MAFUTA YA NAZI. Mafuta ya nazi ni mafuta mazuri sana kwa kupikia na hata kwa kupaka kwenye ngozi kwa afya ya ngozi yako.
Mafuta haya yana soko kubwa sana, na mengi yanatoka kenya na wakati Tanzania tunalima nazi hasa kwa watu wa dar es salaam.
Ndani ya kitabu changu ambacho kinafundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali zaidi ya 15 nimekuwekea pia jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi kwa njia rahisi sana na kupata mafuta yenye ubora wa hali ya juu sana.
Ndani ya kitabu hicho utajifunza kukamua mafuta ya nazi kwa njia ya haraka na kupata mafuta mengi sana kwa kutumia mashine ndogo ambayo watu wengi hawajui kabisa. Na ninakuhakikishia inaweza kukuweka sokoni kwa muda mrefu na kutengeneza pesa bila kikomo. Pia nimekuwekea mawasiliano na viwanda vinavyotengeneza vifungashio ili uweze kupata vifungashio vya bidhaa yako kwa njia rahisi sana.
Jipatie kitabu hicho kwenye simu yako ili uchukue hatua mara moja na uanze biashara hii. Pia utaona aina hii ya mashine na bei yake. Mashine hii inakamua mafuta ya mbegu kama karanga, zaituni, mbegu za maboga na hata alizeti, kwahiyo ina faida kubwa sana kibiashara.
Fikiria nje ya box na watu watabaki wanakushangaa.
Kitabu hicho kipo kwenye mfumo wa softcopy yaani nakala laini ambapo unaweza kukisoma kwenye simu yako au kompyuta yako. Na unaweza kukipata kwa njia ya mbili.
1. Moja kwa moja kutoka kwangu kwa kutuma pesa ya kitabu sh. 5000/- kwa MPESA 0754745798-Pius au TIGOPESA 0657128567-Pius nami nitakutumia kitabu kwa njia ya Email au whatsapp.
2. Unaweza kukipata moja kwa moja kupitia mtandaoni kwa kubonyeza HAPA na utaweza kukidownload au kukipakua kwa bei hiyo hiyo.
Asante kwa kusoma makala hii. Chukua hatua mara moja na unufaike katika maisha yako.
Kama hujajiunga na huduma zetu basi unaweza kujiunga hapa chini ili uwe karibu na huduma tunazozitoa kwa njia ya email;
Kama hujajiunga na huduma zetu basi unaweza kujiunga hapa chini ili uwe karibu na huduma tunazozitoa kwa njia ya email;
Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako.
Pius J. Muliriye
0754745798
0657128567
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com
Hi Mr Pius
Natumai uko poa
Nimefurahi kwa kufaidika na makala/elimu hii unayotoa, ni Mara yangu ya Kwanza kusoma toka kwako. Kulingana na maisha yalivyobana ilinijia kichwani kufanya au kuanza biashara za mazao ya Nazi hivyo ndio nikaanza kupekua ktk mitandao na kujifunza, baadae nikakutana nawe !! Naomba niunge ktk WhatsApp (+255 676 414653 niendelee kufaidika na nitatuma helakwa ajili ya kitabu.