MAFANIKIO

LIST ZAIDI YA 150 YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI

LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI1. Kununua Mashine za kukoroga zege nakukodisha.2. Kununua Mashine za kukata vyuma nakuzikodisha.3. Kutengeneza na kuuza tofali4. Ufundi, Website updating/Database: KatikaHalmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilayana Makampuni mbalimbali.5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vyaelectroniki na mawasiliano mfano; compyuta navifaa vya compyuta na mawasiliano.7. […]

LIST ZAIDI YA 150 YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI Read More »

HAYA NDIO MAMBO MATATU (3) MUHIMU SANA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFANIKIO.

Habari rafiki, Natumai hujambo na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Leo napenda nikushirikishe kitu muhimu sana katika mafanikio. Ili ufanikiwe unahitaji mambo matatu muhimu nayo ni; Wazo Watu na  Fedha Isivyo bahati mbaya mambo haya matatu huwa hayaji yote kwa wakati mmoja. Utakuwa na wazo lakin huna watu ama huna fedha. Au Utakuwa

HAYA NDIO MAMBO MATATU (3) MUHIMU SANA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFANIKIO. Read More »

KAMA UNAFANYA HIVI, UNAJIDANGANYA!!

Uongo ni katika kitu ambacho hata maandiko matakatifu yamekataza,watu weeengi huwa wanajua uongo ni kuwaongopea wengine lakini pia kumbe hata wewe mwenyewe huwa unajiongopea ACHA KUJIDANGANYA. Maswala ya kutaka kuyabadilisha maisha yako wakati wewe mwenyewe hutaki kubadilika huo ni uongo. Kuamini kuwa unajua kila kitu na huwezi tena kujifunza kutoka kwa wengine huo ni uongo

KAMA UNAFANYA HIVI, UNAJIDANGANYA!! Read More »

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFIKA MAHALI UNATAKA KUFIKA 2017

Baada ya kuona namna ambavyo maamuzi na kujisikiliza vinavyoweza kutupeleka hatua nyingine ya maisha, leo nitakueleza mambo ya kufanya baada ya kufanya maamuzi sahihi na kujisikiliza mwenyewe ili utoke sehemu ulipo .Mambo yafuatayo ni muhimu sana kuyazingatia ili uweze kufika mahali unataka kufika 2017. 1. Achana kabisa na hofu ya kitu usichokijua ( Abandon with

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFIKA MAHALI UNATAKA KUFIKA 2017 Read More »

HII NDIO NGUVU UNAYOPATA KUTOKA KATIKA MTANDAO HUU

Habari rafiki.Natumaini unaendelea vizuri na maisha yako.Leo tumekutana tena kwenye makala hii ambapo tunazungumzia kuhusu faida au nguvu unayopata kutoka kwenye makala mbalimbali kwenye mtandao huu na mitandao mingine. Kabla hatujaendelea,  tuone maoni ya msomaji mmoja ambaye amefaidika na makala hizi. Nashukuru bro kwa ujumbe wako. Makala zako zinanijenga kila siku na kufanya nipate ujasili

HII NDIO NGUVU UNAYOPATA KUTOKA KATIKA MTANDAO HUU Read More »

HII NDIO MAANA HALISI YA ELIMU ULIYOIPATA DARASANI.

Habari rafiki yangu,  naamini utakuwa poa sana na sikukuu ilienda vizuri kabisa. Karibu tena katika muendelezo wa makala zetu za kila siku,  zinazotukumbusha na kutufundisha kuwa na mtizamo chanya katika maisha yetu. Watu wengi wamekuwa wakijidanganya kuwa ni wasomi sana na hata kufikia hatua ya kuwadharau watu ambao kwa bahati mbaya hawakuweza kusoma.Elimu uliyonayo ndugu

HII NDIO MAANA HALISI YA ELIMU ULIYOIPATA DARASANI. Read More »

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017

Mimi kama C.O wa blog ya www.shuletanzania.info na facebook page ya THINKBIGSTARTSMALL napenda kuchukua fursa hii kuwatakia sikukuu njema wote wanofatilia makala zangu mbalimbali kwenye blog yangu ya www.shuletanzania.info na niwatakie mafanikio makubwa mwaka ujao 2017. Nipigie simu kwa ushauri,  kama umejaribu kujikwamua kimaisha na bado umeshindwa,  nitakushauri na utaweza kuamka tena. Kama utahitaji kushauliwa

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017 Read More »

NAMNA YA KUEPUKA MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA KIPINDI CHA SIKUKUU Na ShuleTanzania Kwa kawaida kipindi cha sikukuu ni wakati ambao watu wengi huwa na matumizii makubwa ya fedha kwa ajili ya kusherehekea pamoja na wapendwa wao, famila, jamaa na marafiki. ShuleTanzania ingependa kukushauri kwamba ni vema ukawa na mpango madhubuti unaoeleweka wa namna gani pesa

Read More »

USIPOLIPA GHARAMA KWA MAFANIKIO YAKO UTALIPA GHARAMA KWA KUFELI KWAKO.

Habari rafiki yangu mpendwa,  naamini uko salama kabisa na unaendelea vizuri na maisha,  pia nina imani umejiandaa vyema na sikukuu zijazo,  nikutakie kila lakheri katika hilo. Somo la leo ni juu ya kulipa gharama kwa mafanikio yako. Karibu tuendelee,Katika maisha kuna siri kubwa sana iliyojificha,  na ili uijue siri hiyo ni lazima ulipe gharama,  si

USIPOLIPA GHARAMA KWA MAFANIKIO YAKO UTALIPA GHARAMA KWA KUFELI KWAKO. Read More »