KOZI YA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE ZA MAGADI/KIGOMA KWA NJIA YA MTANDAO (Online course)

Habari rafiki yangu wa mtandao huu wa www.shuletanzania.info natumai unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Ni jambo jema sana kwani mustakabali wa maisha yako yako mikononi mwako.

Rafiki; leo nakuletea kitu ambacho kitaweza kubadili maisha yako kama utachukua hatua katika maisha yako.
Hivi karibuni nimekuwa nikizungumzia sana kuhusu swala la mtu kutengeneza bidhaa mbalimbali kama dhana nzima ya kumiliki kiwanda nyumbani kwako imavosema na hatimaye kuimarisha uchumi wako.

Nilifanikiwa kuandika kitabu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI ambacho kinapatikana mtandaoni na kimefanya vizuri sana na kimesaidia sana watu wengi kwani wengi wanamiliki sasa viwanda vidogo nyumbani kwao, unaweza pia kukipata kitabu hicho kwenye simu yako kwa kupitia whatsapp au email kwa bei nafuu sana. Niandikie whatsapp 0754745798 nitakutumia mara moja baada ya kulipia.


Katika kitabu hicho nimefanikiwa kutengeneza kozi moja kwa njia ya VIDEO (online course)ambayo inaonyesha kwa vitendo hatua kwa hatua utengenezaji wa SABUNI ZA MAGADI zile za KIGOMA ambazo zinapendwa sana na zina soko kubwa sana hata nchini mpaka nje ya nchi.

Kama simu yako inaweza kuingia google basi unaweza kuandika www.piuscollege.wordpress.com kuingia darasani mara moja. Pata kozi hii itakusaidia sana kuelewa jinsi ya kutengeneza sahuni hizo kwa njia ya vitendo yaani VIDEO na moja kwa moja utaweza kwenda kuanza mradi wako wa uzalishaji.

Usiwaze sana kuhusu malighafi kwani tutaweza kusuply popote ulipo kutokea MWANZA, cha msingi jifunze kwanza na kuhusu malighafi ukikosa huko uliko tuwasiliane mara moja.

Karibu kwenye kozi hiyo, bonyeza HAPA na utapata utaratibu wa kujiunga na kozi hiyo.

KARIBU SANA

Ni mimi mwenye kupenda mafanikio yako;


PIUS J. MULIRIYE
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *