SHULE TANZANIA MOBILE APP

Habari rafiki na msomaji wa makala kupitia shule tanzania, natumai uko vizuri kabisa na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako.


Kutokana na kutambua umuhimu wa elimu kwa mtu yeyote yule anayehitaji kuboresha maisha yake nimeamua sasa kukuletea mafunzo mbalimbali ambayo yanapatikana kwenye blog yetu pendwa kabisa ya SHULE TANZANIA kupitia SIMU yako ya mkononi kupia APPLICATION (APP) ambayo utaweza kuimiliki kwenye simu yako. 

Uzuri wa huduma hii ya APPLICATION ni kwamba utakuwa ukipata makala na mafunzo mbalimbali bila ya kufungua blog ya shuletanzania bali utapata taarifa kila makala inapokuwa hewani. Sasa APP hiyo unaweza kuipata kwa kubonyeza HAPA na kisha INSTALL kwenye simu yako ya mkononi.

Au Bonyeza picha hii kuipakua moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi.


Nikutakie kila lililo la kheri msomaji wangu na nikutakie mafanikio mema katika kujifunza au katika kuongeza maarifa katika maisha yako.

Karibu sana.

PIUS J. MULIRIYE
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com
www.piuscollege.wordpress.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *