HII NDIO NGUVU UNAYOPATA KUTOKA KATIKA MTANDAO HUU

Habari rafiki.
Natumaini unaendelea vizuri na maisha yako.
Leo tumekutana tena kwenye makala hii ambapo tunazungumzia kuhusu faida au nguvu unayopata kutoka kwenye makala mbalimbali kwenye mtandao huu na mitandao mingine.

Kabla hatujaendelea,  tuone maoni ya msomaji mmoja ambaye amefaidika na makala hizi.

Nashukuru bro kwa ujumbe wako. Makala zako zinanijenga kila siku na kufanya nipate ujasili kila siku. ~Cosmas Anthony Muliriye 

 Huyo ni mmoja wa wasomaji wa makala zangu,  huyu ni mwandishi wa habari wa millardayo.com.  Ameweza kuongeza ufanisi wake katika kazi kutokana na mafundisho nayoyatoa takribani kila siku.
Huyo ni mmoja kati ya wengi wanaofaidika na mafundisho haya.

Nikushauri na wewe unayesoma makala hizi ili upate kujua yale usiyoyajua hatimaye uongeze ufanisi katika kazi zako,  katika biashara yako au katika huduma unayotoa.

Asante,  kwa leo naomba niishie hapo.  Lakini kabla sijaondoka naomba nikupe habari njema.  Nimeweza kuandika kitabu ambacho kitakamilika muda wowote kuanzia sasa.  Kitabu hiki kimenichukua takribani miezi tisa na wiki mbili za utafiti wa biashara na wafanya biashara mbalimbali na kukuletea NJIA 12 ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI UNAOHITAJI KUANZISHA BIASHARA YAKO.

Katika kitabu hicho utajifunza njia mbalimbali za kukuwezesha wewe unayetaka kuanza biashara na huna mtaji kupata mtaji wa kuanzisha biashara yako.

Kaa tayari ujipatie nakala yako na hatimaye uweze kufikia  ndoto zako.

Cover ya kitabu: NJIA 12 ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA YAKO.  coming soon!!!

Nikutakie siku njema msomaji wa mtandao huu wa www.shuletanzania.info

Kwa ushauri,  wasiliana nasi kupitia,

Pius Justus Muliriye
0754745798-whatsapp
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *