MALENGO

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI.

Habari rafiki wa piusjustus.com; Leo nimekuletea makala kwa njia ya video itakayokufundisha jinsi sahihi ya kujiajiri. Na hays ndio mambo muhimu matano (5) ya kujua kabla ya kuamua kujiajiri. Karibu usikilize!! sasa unaweza kupakua app yetu ili uwe wa kwanza kupata makala na video zinapowekwa mtandaoni. Bonyeza hapa kuipakua PIUS JUSTUS APP Ni mimi mwenye kujalia […]

MAMBO MATANO YA KUJUA KABLA YA KUAMUA KUJIAJIRI. Read More »

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA.

Umbali uliopo kati ya malengo yako na mafanikio ni mrefu sana, na una vikwazo vingi sana, nafahamu fika ya kwamba hilo unalitambua vizuri sana.Umbali huo ambao upo baadhi ya watu ambao wana Mafanikio wameweka mikakati thabiti ambayo imewafanya wameweza kufanikiwa. Pia kwa upande watu ambao hawajafanikiwa kwa kiwango cha juu na wao katika malengo yao

JINSI YA KUWEKA MALENGO YANAYOFIKIKA. Read More »

USIOGOPE KUSHINDWA

Habari rafiki;Katika video yetu ya leo ningependa tuongelee mada inayoitwa USIOGOPE KUSHINDWA.watu wengi sana wanashindwa kufikia ndoto zao kwa sababu tu wanafikiri watashindwa na watachekwa kwa kushindwa kwao. Ndugu yangu, katika kusaka mafanikio kushindwa njiani ni jambo la kawaida sana, endelea kupambana hata kama unaona kuna dalili ya kushindwa wewe endelea tu. Michael Jordan alishawahi

USIOGOPE KUSHINDWA Read More »

NGAZI AU LIFTI

Kwenye jengo lefu hasa Ghorofa ukiingia ndani ya jengo hilo utakuta namna mbili za kukutoa chini na kukupeleka juu au kwenye floor mojawapo katika jengo hilo. Namna hizo mbili ni lifti au ngazi. Lifti umfikisha mtu haraka sana lakini njia ya ngazi huchosha kama unaenda mbali kwa juu. Hivyo watu wengi hupendelea kupanda lifti. Tunaporudi

NGAZI AU LIFTI Read More »

RAHISISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI KWA MASHINE HII NDOGO.

Habari kijana mwenzangu;Harakati zinaendelea. Kwa wale ambao tayari wameshajifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kutumia kitabu changu na umekuwa au umevutiwa na utengenezaji wa SABUNI YA MAJI sasa imerahisishiwa kazi na utaweza kuzalisha sabuni ya maji nyingi kwa muda mchache. Hii ni aina ya mashine ambayo inafanya mixingi ya ujazo mkubwa wa sabuni yako ya

RAHISISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI KWA MASHINE HII NDOGO. Read More »

DOGO HASSAN MWENYE MIAKA 12 AWA MJASIRIAMALI ALIYEAJIRI WENZAKE

DOGO HASSAN MWENYE MIAKA 12 AWA MJASIRIAMALI ALIYEAJIRI WENZAKE________________________________________ Siku ya Jumamosi ya tarehe 22.7.2017 nilikuwa maeneo ya Viwege.Kwa wale wasioifahamu Viwege iko Jijini Dar es salaam Eneo la Kinyamwezi kama unaenda Chanika. Nilikuwa huko kwa ajili ya kikao na baada ya kikao Rafiki yangu Mnepo Ezekiel alinisindikiza kuelekea kituo cha magari yaendayo Rada (Majohe)

DOGO HASSAN MWENYE MIAKA 12 AWA MJASIRIAMALI ALIYEAJIRI WENZAKE Read More »

Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi

Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho. Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa

Siri 5 kubwa Za Mafanikio Bila Utegemezi Read More »

NDOTO YAKO NI IPI?

Tunaweza kuota kuwa watu wenye mafanikio maishani. Hasa kwa njia ya kujiajiri wenyewe. Lakini uzoefu wa kujisimamia mwenyewe katika biashara unaonesha kuwa mtu anahitaji kuelewa mambo ya msingi ambayo lazima akumbane nayo ili kusonga mbele. Na kama tukitenda kwa usahihi basi tuna nafasi kubwa ya kufanikiwa. Na kwa hakika ujasiriamali unahitaji mtu mwenye nia na

NDOTO YAKO NI IPI? Read More »