RAHISISHA UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAJI KWA MASHINE HII NDOGO.

Habari kijana mwenzangu;
Harakati zinaendelea.

Kwa wale ambao tayari wameshajifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kutumia kitabu changu na umekuwa au umevutiwa na utengenezaji wa SABUNI YA MAJI sasa imerahisishiwa kazi na utaweza kuzalisha sabuni ya maji nyingi kwa muda mchache.

Hii ni aina ya mashine ambayo inafanya mixingi ya ujazo mkubwa wa sabuni yako ya maji. Ndani ya saa moja unaweza kuzalisha zaidi ya LITA 100 za sabuni.

Pia tutakusaidia kupata vifungashio vya kisasa kabisa vya kufungia sabuni yako iendane na soko la leo.

Kama utahitaji ujuzi wa kutengeneza sabuni ya maji basi wasiliana nami whatsapp 0754745798 nikutumie softcopy ya kitabu chenye mafunzo ya jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji na bidhaa nyingine zaidi ya 15.

Pia kama utahitaji mashine hii wasiliana nami kwa no.hizo nitakusaidia kuipata kwa bei nafuu sana. Utafikishiwa sehemu yoyote ulipo bila shida kabisa.

Hii ni Tanzania ya viwanda, MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI SASA.

Pia unaweza kupata kitabu hiki kwa bei ya punguzo kabisa. Kitabu bei yake ni Sh. 5000/- lakini ukinunua online utakipata kwa sh.1000/- tu. Bonyeza picha hii upate ofa hiyo. Kumbuka kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa softcopy na ukishalipia hapo utapewa link ya kudownload.
Tafadhari bonyeza picha hii.

Asante,

PIUS JUSTUS MULIRIYE
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *