HAMASIKA

MAFANIKIO HAYAJI KWA KUYAONGELEA TU.

“Mafanikio hayaji kwa kuyaongelea sana lakini ni kwa kuanza kuchukua hatua sehemu unayoongelea kufanikiwa”. Hauwezi kufanikiwa katika biashara bila kuwa kwenye biashara.Maneno hayawezi kukufanya kuwa mshindi mpaka uingie kwenye kukifanya unachokisema mfano wanajeshi hawawezi kushinda ikiwa hawapo vitani, mkulima hawezi kuvuna bila kuamua kulima na kutunza shamba lake baada ya kupanda, mwanafunzi hawezi kufauli au

MAFANIKIO HAYAJI KWA KUYAONGELEA TU. Read More »

JINSI YA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WATEJA WAKO

Mahusiano mazuri na wateja wako huwepo kwa kutambua tabia zao.Lakini imekuwa ngumu sana kwa watu kujenga mahusiano haya kwasababu watu kuwa wavivu wa kufanyia kazi upande huu,wengi wanadhani kuwa na bidhaa au huduma tu tayari ni biashara ambayo itakutoa kimaisha,kumbuka mahusiano mazuri na wateja wako baada ya kuwa na biashara ndiyo biashara yenyewe yenye mafanikio.Kuna

JINSI YA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WATEJA WAKO Read More »

YUTUBE: JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA

Habari rafiki;Leo nimekuletea video nyingine ambayo ni muendelezo wa video zilizopita zinazozungumzia jinsi ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandaji. Isikilize na hii juu ya UTENGENEZAJI WA SABUNI YA UNGA/DETERGENT SOAP Bonyeza PLAY kutazama. Asante sana,Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako. PIUS J. MULIRIYE07547457980657128567piusjustus28@gmail.com

YUTUBE: JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA Read More »

HII NDIO NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE

Habari Rafiki;Leo nakudondoshea njia moja rahisi sana ya kutengeneza sabuni ya Mche ambayo inatumika kwa kazi nyingi sana kama kufulia, kuogea na hata kunawia. Mradi huu ni muhimu kwako wewe kama unataka kuingia kwenye biashara hii kwani ni kitu kinachotumika sana kwa kila familia.Nakuhakikishia ukijikita kwenye biashara hii basi utaona mafanikio yake kwa njia rahisi

HII NDIO NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE Read More »

Kila Biashara Sasa Inahusisha Intaneti, Kama Bado Biashara Yako Haipo Kwenye Intaneti, Umechagua Kupoteza Wateja.

Kila wakati ambapo dunia inabadilika, huwa kuna watu hawayaamini mabadiliko hayo, na hivyo kuendelea kufanya kile ambacho walizoea kufanya. Kila teknolojia mpya inapokuja, wapo watu wanaoiangalia teknolojia hiyo kama kitu cha kupita pekee. Na wengi huona ni vitu vya vijana na siyo kwa watu wazima ambao wameshajenga misingi yao.Lakini ipo fursa ambayo siyo tu ipo

Kila Biashara Sasa Inahusisha Intaneti, Kama Bado Biashara Yako Haipo Kwenye Intaneti, Umechagua Kupoteza Wateja. Read More »

MBINU MUHIMU ZA KUPATA WATEJA WENGI KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK, INSTAGRAM na YUTUBE.

Je wewe ni mjasiriamali unayehangaika kila siku kupata wateja kwenye mtandao wa internet hasa facebook bila mafanikio? je, umejitahidi sana kupost picha za bidhaa zako kila group lakini hakuna anayeonyesha kupenda bidhaa yako na wanaishia kulike na kuondoka? Usijali, nipo hapa kwa ajili yako, kukusaidia, pamoja na kukufundisha mbinu mbalimbali za jinsi ya kuuza bidhaa

MBINU MUHIMU ZA KUPATA WATEJA WENGI KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK, INSTAGRAM na YUTUBE. Read More »

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi Kama wewe ni mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma nzuri lakini unashindwa kuwafikia watu wengi kwenye mtandao basi hakikisha unanipa macho na masikio yako kwani huenda makala hii ikawa moja ya makala muhimu utakayosoma mwaka huu. Kutokana na uzoefu wangu wa kutumia mtandao kwa miaka zaidi

Mambo 5 Ya Kufanya Kwenye Mtandao Kuwafikia Watu Wengi Na Kuuza Bidhaa Nyingi Read More »

IJUE NJIA RAHISI YA UZALISHAJI WA CHAKI ZINAZOTUMIKA MASHULENI

Habari Rafiki mpendwa; Chaki ni bidhaa inayohitajika kwa kasi sana katika soko la hapa Tanzania hasa kipindi hiki ambacho serikali imetilia mkazo sana juu ya kuinua elimu hapa nchini.Soko la chaki ni kubwa sana hapa nchini na mahitaji yanaongezeka kwa kasi sana. Tafiti zinaonyesha kuna tani nyingi sana za chaki zinatumika sana kila siku kiasi

IJUE NJIA RAHISI YA UZALISHAJI WA CHAKI ZINAZOTUMIKA MASHULENI Read More »