HII NDIO NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE

Habari Rafiki;
Leo nakudondoshea njia moja rahisi sana ya kutengeneza sabuni ya Mche ambayo inatumika kwa kazi nyingi sana kama kufulia, kuogea na hata kunawia.

Mradi huu ni muhimu kwako wewe kama unataka kuingia kwenye biashara hii kwani ni kitu kinachotumika sana kwa kila familia.
Nakuhakikishia ukijikita kwenye biashara hii basi utaona mafanikio yake kwa njia rahisi sana.

unaweza kuangalia video hii ili ujifunze njia rahisi ya kutengeneza sabuni hiyo.  KARIBU.


Kama kifaa chako hakiruhusu kuangalia direct, unaweza kubonyeza maandisha haya kuiangalia

Unaweza pia kupata kitabu hiki kilichoandaliwa kwa mfumo wa PDF ambapo unaweza kukisoma kwenye simu yako ambacho kina mafunzo muhimu sana ya kutengeneza vitu mbalimbali ambavyo unaweza ukafanyia nyumbani na ukatengeneza kipato kikubwa sana.
Vitu hivyo ni kama; Sabuni ya maji, sabuni ya unga, shampoo, batiki, tomato source, chaki e.t.c

Bonyeza picha ya kitabu hiki kupata copy yako au unaweza kuwasiliana nami moja kwa moja ili ujipatie copy yako whatsapp 0754745798 au piga 0657128567 na utatumiwa kwa njia ya email au whatsapp kwa bei ya Sh.5000/- tu.



Asante sana kwa kuwa pamoja nami;

Wasiliana nasi kwa whatsapp;
0754745798
0657128567

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *