KITABU: FACEBOOK MASOKO

Je, wewe ni miongoni mwa wajasiriamali au wanaotarajia kuwa wajasiriamali na uanatamani ufanye biashara ya kuuza bidhaa zako au huduma yoyote mtandaoni?

Basi usijari;

Nimekuandalia kozi maalumu sana ambayo utaipata ndani ya kitabu kinachoitwa Facebook Masoko, kimeandikwa kwa kiswahili na kinaeleweka vizuri sana, kitabu hiki unaweza kukipata kwa kudownload hapa hapa na kukisoma kwenye simu yako.

Tafadhari bonyeza picha hii kisha jaza fomu kwa kuweka email yako na majina yako kisha utapata kitabu hiki.

Asante;

Ni mimi mpenda maendeleo yako.

PIUS JUSTUS
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *