MAFANIKIO HAYAJI KWA KUYAONGELEA TU.

“Mafanikio hayaji kwa kuyaongelea sana lakini ni kwa kuanza kuchukua hatua sehemu unayoongelea kufanikiwa”.

Hauwezi kufanikiwa katika biashara bila kuwa kwenye biashara.Maneno hayawezi kukufanya kuwa mshindi mpaka uingie kwenye kukifanya unachokisema mfano wanajeshi hawawezi kushinda ikiwa hawapo vitani, mkulima hawezi kuvuna bila kuamua kulima na kutunza shamba lake baada ya kupanda, mwanafunzi hawezi kufauli au kufeli bila kufanya mtihani.

PIUS JUSTUS MULIRIYE
0754745798
0657128566
piusjustus28@gmail.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *