Natumai unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.
Napenda leo nikukumbushe kitu muhimu sana, najua umekuwa ni miongoni mwa watu ambao wanatumia mitandao ya kijamii mara kwa mara, je unafaidika nini na mitandao hiyo?
Je kuna kiasi chochote unachoingiza au unatumia tu kuliko kuingiza?
Tambua kuwa ni muhimu kuwa na biashara yoyote katika mtandao ili ikuingizie kipato kwani wateja wengi wako mtandaoni.
Kuna biashara nyingi sana za kufanya mtandaoni bila hata ya kuwa na mtaji, ni wewe na mtandao wako na kuanza kutengeneza bidhaa yako mtandaoni.
kama utapatwa na shida yoyote tafadhari tuwasiliane niweze kukuongoza katika hili.
Asante sana, na nikutakie siku njema.
Kama hukupata kitabu cha FACEBOOK MASOKO basi bonyeza maandishi hayo kukipata moja kwa moja bure.
Tafadhari weka email yako hapa uwe wa kwanza kupokea makala hizi kwenye email yako kila siku.
unaweza kuwasiliana nami;
Pius Justus Muliriye
0754745798
0657128567
piusjustus28@gmail.com