Pius Justus

HII NDIO MAANA HALISI YA ELIMU ULIYOIPATA DARASANI.

Habari rafiki yangu,  naamini utakuwa poa sana na sikukuu ilienda vizuri kabisa. Karibu tena katika muendelezo wa makala zetu za kila siku,  zinazotukumbusha na kutufundisha kuwa na mtizamo chanya katika maisha yetu. Watu wengi wamekuwa wakijidanganya kuwa ni wasomi sana na hata kufikia hatua ya kuwadharau watu ambao kwa bahati mbaya hawakuweza kusoma.Elimu uliyonayo ndugu […]

HII NDIO MAANA HALISI YA ELIMU ULIYOIPATA DARASANI. Read More »

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017

Mimi kama C.O wa blog ya www.shuletanzania.info na facebook page ya THINKBIGSTARTSMALL napenda kuchukua fursa hii kuwatakia sikukuu njema wote wanofatilia makala zangu mbalimbali kwenye blog yangu ya www.shuletanzania.info na niwatakie mafanikio makubwa mwaka ujao 2017. Nipigie simu kwa ushauri,  kama umejaribu kujikwamua kimaisha na bado umeshindwa,  nitakushauri na utaweza kuamka tena. Kama utahitaji kushauliwa

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017 Read More »

NAMNA YA KUEPUKA MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA KIPINDI CHA SIKUKUU Na ShuleTanzania Kwa kawaida kipindi cha sikukuu ni wakati ambao watu wengi huwa na matumizii makubwa ya fedha kwa ajili ya kusherehekea pamoja na wapendwa wao, famila, jamaa na marafiki. ShuleTanzania ingependa kukushauri kwamba ni vema ukawa na mpango madhubuti unaoeleweka wa namna gani pesa

Read More »

USIPOLIPA GHARAMA KWA MAFANIKIO YAKO UTALIPA GHARAMA KWA KUFELI KWAKO.

Habari rafiki yangu mpendwa,  naamini uko salama kabisa na unaendelea vizuri na maisha,  pia nina imani umejiandaa vyema na sikukuu zijazo,  nikutakie kila lakheri katika hilo. Somo la leo ni juu ya kulipa gharama kwa mafanikio yako. Karibu tuendelee,Katika maisha kuna siri kubwa sana iliyojificha,  na ili uijue siri hiyo ni lazima ulipe gharama,  si

USIPOLIPA GHARAMA KWA MAFANIKIO YAKO UTALIPA GHARAMA KWA KUFELI KWAKO. Read More »

HIVI NDIVYO ELIMU YAKO INAVYOKURUDISHA NYUMA BILA WEWE KUJUA.

Habari rafiki yangu mpendwa na msomaji wangu wa ShuleTanzania,  natumai uko vizuri sana na unaendelea vizuri na harakati za maisha yako.  Leo ningependa nizungumzie suala la elimu na jinsi inavyokudidimiza kiuchumi na kifikra.  Sisemi elimu ni mbaya,  ni nzuri sana na ninakushauri usome sana uwezavyo.  Elimu,  hasa elimu yetu hapa Tanzania imekuwa ni kitu ambacho kimekuwa

HIVI NDIVYO ELIMU YAKO INAVYOKURUDISHA NYUMA BILA WEWE KUJUA. Read More »

USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA.

Hii ni njia nyingine unayoweza kupitia kutengeneza kipato zaidi.  Jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa zinazohitajika kwa wingi na jamii inayokuzunguka. ShuleTanzania inakuletea kitabu ambacho kitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza chaki zinazotumika mashuleni.  Bidhaa hii ina soko kubwa sana hapa nchini,  hii ni kwa sababu kuna utitili wa shule nyingi sana na zote zinatumia

USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA. Read More »

DHANA POTOFU JUU YA TANZANIA YA VIWANDA.

Habari rafiki mpenda maendeleo,  naamini utakuwa salama kabisa na unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Kila mtu anawezakuwa shahidi wa kauli mbiu ya serikali ya awamu ya tano ya TANZANIA YA VIWANDA.   Watu wengi wamekuwa na dhana potofu juu ya kauli mbiu hii,  na watu wengi wamekuwa wakidhani Tanzania inataka kuleta wawekezaji

DHANA POTOFU JUU YA TANZANIA YA VIWANDA. Read More »

VIDEO: HUYU NDIYE WA KUMLAUMU JUU YA MAISHA YAKO

Habari rafiki, Natumai uko poa kabisa  na unaendelea na maisha kama kawaida. Kidole kimoja ndo humlaumu mtu mwingine, lakini vingine hukulaumu wewe mwenyewe. Leo napenda nikuletee hii video ambayo inaeleza vizuri sana kuhusu mtu anayehusika kukurudisha nyuma katika maisha yako.Itazame kisha chukua hatua. Nikutakie siku njema yenye mafanikio tele.Furaha yangu ni kuona unafanikiwa. Asante. Pius

VIDEO: HUYU NDIYE WA KUMLAUMU JUU YA MAISHA YAKO Read More »