Pius Justus

UJINGA WA FISI KATIKA KUTATUA TATIZO LA KUKOSA AJIRA.

Ujinga wa fisi ni zile hesabu zake za kujidanganya. Akimuona binadamu anatembea, yeye anamfuata nyuma anamvizia. Jinsi binadamu anavyotembea kwa kutupa mikono, fisi anaamini kuwa muda wowote utadondoka kisha yeye ataubeba kwendaa kuufanya kitoweo. Fisi anabaki kuwa mnyama mjinga kwa sababu mkono wa binadamu haudondoki. Siku fisi atakapojua kuwa binadamu kutupa mikono ndiyo kutembea kwake

UJINGA WA FISI KATIKA KUTATUA TATIZO LA KUKOSA AJIRA. Read More »

TUMIA MAWAZO HASI KAMA CHANGAMOTO YA KUBADILIKA

Mawazo HASI ni kama meli inayozama, usipoondoka ndani yake unazama nayo. Tumia mawazo hasi kama mtaji wa kubadilika. Mpaka sasa watu wengi wamefungwa na mawazo hasi  yaliyorithiwa vizazi na vizazi na imewapelekea kudhani kuwa wao ndio mawazo hasi na mawazo hasi yanachowaambia hudhani wao ndio wanaowaza. Nakuhakikishia mawazo hasi huna uhusioano nayo bali umeyarithi kwenye

TUMIA MAWAZO HASI KAMA CHANGAMOTO YA KUBADILIKA Read More »

HIZI NI AINA YA BIASHARA TANO (5) UNAZOWEZA KUFANYA MWAKA 2017 KWA MTAJI KIDOGO AU BILA HATA MTAJI KABISA.

Popote ambapo utaanza kuzungumza kuhusu biashara, wale ambao hawajaanza biashara watakuambia kitu kimoja; napenda kuanza biashara lakini sina mtaji. Hii ni sababu ya uongo ya kushindwa kuingia kwenye biashara ambayo imekuwa inatumiwa na watu wengi ambao hawapo tayari kuingia kwenye biashara. Yaani mimi ninachoamini ni hiki, mtu anaponiambia kwamba anashindwa kuingia kwenye biashara kwa sababu

HIZI NI AINA YA BIASHARA TANO (5) UNAZOWEZA KUFANYA MWAKA 2017 KWA MTAJI KIDOGO AU BILA HATA MTAJI KABISA. Read More »

MAMBO (2) MUHIMU UNAYOTAKIWA KUPATA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

Habari rafiki mpenda maendeleo,  ni matumaini yangu uko poa kabisa na unaendelea kupambana na maisha.  Leo ningependa nikuletee hii kuhusu mambo mawili muhimu unayotakiwa kuyapata kwenye mitandao ya kijamii. Kuna mitandao mingi sana ya kijamii kwa sasa ambayo hutumika kwa namna mbalimbali,  mitandao hiyo ni kamafacebook,  twitter,  whatsapp,  yutube,  blogs,  websites n.k.  lakini yote hii

MAMBO (2) MUHIMU UNAYOTAKIWA KUPATA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. Read More »

HUWEZI KUPATA MAFANIKIO BILA KULIPA GHARAMA.

Habari rafiki mpenda maendeleo, naamini upo salama kabisa na unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. nami pia niko salama na ninaendelea vizuri na harakati za kuendelea kukuelimisha ili kwa pamoja tuweze kufikia kile tulichokitarajia katika maisha yetu. Leo nataka nikukumbushe tu, huwezi kupata mafanikio bila kulipa gharama, iwe ya pesa au kitu chochote

HUWEZI KUPATA MAFANIKIO BILA KULIPA GHARAMA. Read More »

MALIZA MWAKA KWA USHINDI WA KISHINDO.

Habari mdau wa ShuleTanzania,  napenda kukupongeza kwa kuendelea kuwa na mimi mpaka muda huu tukielekea ukingoni mwa mwaka huu wa 2016. Natumai umefaidika na makala ambazo nimekuwa nikiandika mara kwa mara tangu mwaka 2014,  pia nikushukuru kwa wewe ambaye umekuwa ukinunua vitabu vyangu ambavyo vimekuwa vikikufundisha mambo mbalimbali ya maisha. Kwa kuwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka

MALIZA MWAKA KWA USHINDI WA KISHINDO. Read More »

MAMBO 15 YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WALIOFANIKIWA​

Kuna watu fulani wanaweza kuja kwenye akili yako haraka hasa pale unapofikiri kuhusu mafanikio. Watu kama vile Steve Jobs, Elon Musk, Larry Page, Bill Gates, Mohamed Dewji. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu anatamani sana kufikia uhuru wa kifedha na kuwa na mafanikio makubwa kama watu wengine wowote walivyofanikiwa leo.  Umewahi kujiuliza ni nini walichokifanya

MAMBO 15 YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WALIOFANIKIWA​ Read More »

NAMNA YA KUJENGA LUGHA YA MASOKO KWA MJASIRIAMALI ~ Daniel

Kwa miaka ya hivi karibuni Watanzania wengi sana wanajishughulisha sana na UJASIRIAMALI. Safi sana, hvyo kila mjasiriamali anahitaji Masoko.Masoko ni Matokeo ya Mahusihano kati yako na mteja.  Soko halitoki hewani ni mchakato.Kitu cha msingi kabisa katika KUJENGA SOKO LA BIDHAA YAKO NI kutengeneza lugha ya soko. Watu wa kiswahili wanahta Rejesta ya soko au watoto

NAMNA YA KUJENGA LUGHA YA MASOKO KWA MJASIRIAMALI ~ Daniel Read More »