Pius Justus

HAPA NDIPO MAHALI SAHIHI PA KUWAPELEKA WATOTO WETU

Habari rafiki, natumaini unaendelea vizuri na maisha yako. nikushukuru wewe unayeendelea kufatilia makala haya kila siku hapa kwenye mtandao wako wa www.shuletanzania.info. Nikutie moyo tu, uko mahali sahihi kabisa. Leo napenda kuanndika na kukushirikisha kuhusu Watoto wetu. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu watoto wao kuwa na tabia mbaya kwa kuwwa na utovu wa nidhamu, napenda […]

HAPA NDIPO MAHALI SAHIHI PA KUWAPELEKA WATOTO WETU Read More »

HABARI NJEMA KWA AKINA DADA NA AKINA MAMA.

Habari rafiki; Napenda kuwataarifu kuwa, sasa unaweza ukapata pochi hizi popote ulipo Tanzania kwa bei nafuu sana. Pochi hizi zina ubora wa hali ya juu sana, ni OG (ORIGINAL) kabisa, kama utapenda kati ya hizi wasiliana nasi kwa no. 0714345997 au 0756466181 – WHATSAPP 0756466181 – WHATSAPP 0756466181 – WHATSAPP 0756466181 – WHATSAPP 0756466181 –

HABARI NJEMA KWA AKINA DADA NA AKINA MAMA. Read More »

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFIKA MAHALI UNATAKA KUFIKA 2017

Baada ya kuona namna ambavyo maamuzi na kujisikiliza vinavyoweza kutupeleka hatua nyingine ya maisha, leo nitakueleza mambo ya kufanya baada ya kufanya maamuzi sahihi na kujisikiliza mwenyewe ili utoke sehemu ulipo .Mambo yafuatayo ni muhimu sana kuyazingatia ili uweze kufika mahali unataka kufika 2017. 1. Achana kabisa na hofu ya kitu usichokijua ( Abandon with

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFIKA MAHALI UNATAKA KUFIKA 2017 Read More »

AINA ZA BIASHARA AMBAZO UNAWEZA FANYA BILA MTAJI AU KWA MTAJI KIDOGO

Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndio uanzishe biashara na ndio sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha,Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu sana katika kuanzisha biashara,lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo sana kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa sana.Kama mfanyabiashara unaweza kutoka kwa kishindo sana  kwa kuanza

AINA ZA BIASHARA AMBAZO UNAWEZA FANYA BILA MTAJI AU KWA MTAJI KIDOGO Read More »

HII NDIO NGUVU UNAYOPATA KUTOKA KATIKA MTANDAO HUU

Habari rafiki.Natumaini unaendelea vizuri na maisha yako.Leo tumekutana tena kwenye makala hii ambapo tunazungumzia kuhusu faida au nguvu unayopata kutoka kwenye makala mbalimbali kwenye mtandao huu na mitandao mingine. Kabla hatujaendelea,  tuone maoni ya msomaji mmoja ambaye amefaidika na makala hizi. Nashukuru bro kwa ujumbe wako. Makala zako zinanijenga kila siku na kufanya nipate ujasili

HII NDIO NGUVU UNAYOPATA KUTOKA KATIKA MTANDAO HUU Read More »

ZIJUE FURSA KUMI ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO.

Habari msomaji wangu wa blog hii,  natumai uko salama kabisa. Tayari tushauanza mwaka,  najua ushajiwekea malengo makubwa ya kutimiza ndani ya huu mwaka. Ni vizuri sana kwani ukiishi bila malengo haikusaidii. Naomba leo nikushirikishe fursa kumi ambazo unaweza kuzitumia ukaondokana kabisa na dimbwi la umaskini. “Kwanza anatakiwa  kusikiliza #FursaKumi, lakini pili lazima ujitambue wewe.  bila

ZIJUE FURSA KUMI ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO. Read More »

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI

Na scola Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. ??Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa ni wale wa “darasa la saba” au wale ambao hawakuingia darasani kabisa  Wasomi wengi

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI Read More »

ZIJUE NJIA ZA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO.

Habari rafiki,  naamini unaendelea vizuri sana na harakati za kuboresha maisha yako.Pia nikupe hongera kwa kumaliza sikukuu ya chrismass salama kabisa na pia kwa uwezo wa mwenyezi Mungu utamaliza na kuuanza mwaka mpya salama kabisa.  (HAPPY NEW YEAR) Leo napenda kuzungumzia kuhusu kipaji cha mtu katika kutimiza ndoto zake. Kila mtu amezaliwa angalau na kipaji kimoja

ZIJUE NJIA ZA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO. Read More »