HIVI NDIVYO ELIMU YAKO INAVYOKURUDISHA NYUMA BILA WEWE KUJUA.
Habari rafiki yangu mpendwa na msomaji wangu wa ShuleTanzania, natumai uko vizuri sana na unaendelea vizuri na harakati za maisha yako. Leo ningependa nizungumzie suala la elimu na jinsi inavyokudidimiza kiuchumi na kifikra. Sisemi elimu ni mbaya, ni nzuri sana na ninakushauri usome sana uwezavyo. Elimu, hasa elimu yetu hapa Tanzania imekuwa ni kitu ambacho kimekuwa […]
HIVI NDIVYO ELIMU YAKO INAVYOKURUDISHA NYUMA BILA WEWE KUJUA. Read More »