Pius Justus

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO.

Habari rafiki, nafurahi kuwa pamoja na wewe siku ya leo tena ambapo ninakwenda kushea  na wewe mambo ya msingi sana unayotakiwa kuwa nayo kabla ya kuwa mjasiriamali wa mtandao. Kabla ya yote jana nilirusha video iliyokuwa inaonyesha jinsi nilivotumia mtamdao wa internet kutengeneza hadi million 7 na zaidi kupitia mtandao wa internet, kama hujaiona nitakuwekea […]

MAMBO MATATU (3) YA KUFAHAMU KABLA YA KUWA MJASIRIAMALI WA MTANDAO. Read More »

MILLION 7,885,000/- NDANI YA SIKU 90 KWA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET.

Angalia video hii inayoonyesha jinsi nilivyotumia mtandao wa internet kuingiza hadi 7,885,000/- ndani ya siku 90. Angalia kisha chukua hatua. Kama umependezwa na video hiyo na ungependa kujifunza zaidi nakukaribisha kwenye group yetu mpya ya Whatsap kwa kubonyeza picha hii? Kama uko tayari kuanza safari hii ya mafanikio tafadhari jaza fomu hii Ni mimi mwenye

MILLION 7,885,000/- NDANI YA SIKU 90 KWA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET. Read More »

NGUVU YA MTANDAO

Mitandao ya kijamii imekuwa na mchango mkubwa sana kukuza biashara za wajasiriamali wengi sana, japokuwa wengi hawaitumii ipasavyo kabisa.Jiulize una muda gani kwenye mitandao hii Facebook, Instagram, Yutube, Blog n.k na umefaidika kiasi gani????Kama hujafaidika chochote basi ni Muda wa KUCHUKUA HATUA MARA MOJA!!! Ni mim mwenye kujali mafanikio yako PIUS J. MULIRIYE0717375782 – Whatsapp

NGUVU YA MTANDAO Read More »

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID.

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID. Habari rafiki. Leo saa 21:30 usiku kwa mara ya kwanza nitakuwa nikifanyiwa interview na Dr. Saiid Said ambaye ni mtaalamu wa biashara ya mtandao (online marketing) kupitia kampuni yake ya “onlineptofits”, Huyu ndiye mtu ambaye alinisaidia kufikia hatua kubwa sana katika biashara yangu kupitia kozi yake niliyonunua online

INSTAGRAM LIVE INTERVIEW with Dr. SAIID SAID. Read More »

1000+ YUTUBE SUBSCRIBERS

Haikuwa kazi rahisi sana ya kushawishi hadi kufikisha idadi hii ya watu wanaopenda kazi yako. ~~~~~~Unaweza ukaona mtu ana mafanikio makubwa  kwa kazi anayoifanya ukaona ni rahisi sana, lakini tambua katika mafanikio ni lazima upitie changamoto sana.~~~~~~~Kupitia yutube kama channel yako haizungumzii udaku na mambo yasiyokuwa na maana huwezi kufikisha subscribers 1K, itakuchukuwa muda mrefu

1000+ YUTUBE SUBSCRIBERS Read More »