Mitandao ya kijamii imekuwa na mchango mkubwa sana kukuza biashara za wajasiriamali wengi sana, japokuwa wengi hawaitumii ipasavyo kabisa.
Jiulize una muda gani kwenye mitandao hii Facebook, Instagram, Yutube, Blog n.k na umefaidika kiasi gani????
Kama hujafaidika chochote basi ni Muda wa KUCHUKUA HATUA MARA MOJA!!!
Ni mim mwenye kujali mafanikio yako
PIUS J. MULIRIYE
0717375782 – Whatsapp tu.