1000+ YUTUBE SUBSCRIBERS

Haikuwa kazi rahisi sana ya kushawishi hadi kufikisha idadi hii ya watu wanaopenda kazi yako.
~~~~~~
Unaweza ukaona mtu ana mafanikio makubwa  kwa kazi anayoifanya ukaona ni rahisi sana, lakini tambua katika mafanikio ni lazima upitie changamoto sana.
~~~~~~~
Kupitia yutube kama channel yako haizungumzii udaku na mambo yasiyokuwa na maana huwezi kufikisha subscribers 1K, itakuchukuwa muda mrefu sana.
~~~~~~~

Napenda niwashukuru wale wote wanaoendelea kufatilia kazi zangu mbalimbali hapa facebook na yutube pia.
Imenichukua muda na rasilimali nyingi kufikisha idadi hii ya watu, kuna usemi unasema “MONEY IS IN THE LIST”. Je una list ya watu unaowashawishi????
~~~~~~~
#TrainYourMind mafanikio ni haki yako ya msingi.

Asanteni wote kwa sapoti yenu.

www.piusjustus.com
www.piuscollege.wordpress.com

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *